mzungu wapink
Member
- Oct 9, 2018
- 80
- 112
Pole sana. Mimi sio Dr.Jamani mtoto wangu is wa myaka miwili anawashwa Miguu toka akiwa na mwaka tumezunguka madaktari wa watoto tumeshindwa mtoto ngozi inamuwasha hasa nyakati za usiku nahiti kujua mahali naweza pata mtabibu mzuri amabaye atagundua chanzo cha tatizo maana wengi hawajui shida ni nini...ndio maana wqmeshindwa kumtibu...
Sent by iOS
Mtafute Dr Foi, anapatikana AAR Victoria, nadhani na Aga KhanSent by iOS