alisema kaitolea indiaKaspersky aliyekuuzia alikwambia kaitoa wapi?
Loh! Kaspersky nyingi ni fake na uwingi wa u-fake umeongezeka kwa sababu ya demand yake kwa mtaa pamoja na gharama kubwa ya kupata OG.alisema kaitolea india
Usijalitatzo dgo sana tunaweza kulisolve kwa simu lakin utachangia pombe ya wazee kidogo
Sent using Jamii Forums mobile app
Inaonekana ina umri mkubwa sana, lakini hujajibu maswali mengine
Ukiachilia ukubwa wa umri ya pc yako ila inaonekana si mpenzi wa hiyo rangi nyepe maana naona kama niko ngorongoro naangalia zebra,ZINGATIA USAFI KWA VIFAA VYAKO ATA UKIWA MUUZA MKAA ILA USAFI NUMBER1