Msaada: Natafuta fundi wa Computer

Kelvin X

JF-Expert Member
Jun 28, 2011
1,927
2,366
Natafuta fundi aliyeko Dar Upanga au Kariakoo. Nina computer yangu laptop Acer inawaka vizuri ila hai display ni pointer tu naiona ila vingine sioni. Nili nunua anti virus Kaspersky ndio problem ilipo anza
 
Jaribu kuchomoa charger then utoe na kurudishia battery then iwashe
 
1. Na ulifanya Bios setting ulivyoweka hiyo Kaspersky?
2. Computer yako ina umri gani?
3. Feni ya computer yako inafanya kazi vizuri?
 
alisema kaitolea india
Loh! Kaspersky nyingi ni fake na uwingi wa u-fake umeongezeka kwa sababu ya demand yake kwa mtaa pamoja na gharama kubwa ya kupata OG.
.
Hiyo pasipo kupepesa macho ni fake huenda baada ya kui-install aka update na BIOS
 
15907753012206480067688498677691.jpg
nili nunua kko 30k
 
Kama ya 2014 ivi nilipewa zawadi, nina laptop nyingine ila hii ilikua na contents zangu nyingi
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom