Msaada: Natafuta barua pepe za makampuni haya

Sep 27, 2015
78
19
Habari wanabodi natumaini wazima wa afya njema. Kama kichwa habari hapo juu kinavyojieleza, naomba msaada kwa mtu yeyote aliye na Email za haya makampuni naomba anisandie, makampuni ambayo ni

(1) TBL.

(2) SBL.

(3) Coca cola.

(4) Pepsi.

(5) Konyagi.

Wanabodi naomba msaada wenu mnisaidie kwa jambo hili. Asante sana na Siku njema.
 
anza na info@.... kwa kila kampuni, theni kila mfanyakazi wa hiyo kampuni ataona hiyo email. Ila ukitaka ya uongozi, tafta mtu anayefanya kazi huko
 
Back
Top Bottom