Msaada: Natafuta App ya kutafsiri lugha mbalimbali

mludego

JF-Expert Member
Mar 16, 2013
1,680
2,000
Msaada nimekuwa nikifuatilia mikutano,kongamano AMA hata mahakama Kuna kifaa hutumika ku translate lugha mbalimbali mfano kiswahili kwenda kijerumani,kiingereza nk. Na kinakua ear phone/head phone

Swali:-je Naweza kupata App inayoweza kufanya kitu kama hicho ? Ambayo hutolewa na kifaa hicho?
 
Hazchem plate

JF-Expert Member
Feb 25, 2011
10,584
2,000
Vile vifaa huwa ni vya kusikilizia na kuongelea( Headphone & Microphone). Ila kuna mtu ambaye huwa anatafsiri. na wakati mwingine huwa kuna mtafsiri zaidi ya mmoja, wanaweza kuwa hata 7 kulingana na Audience

Kinachofanyika ni kwamba kila mtu atachagua channel ya Lugha yake na atasikiliza.

Kuhusu App sina uhakika, ila kuna App kama Google translator inafanya poa kwenye kutafsiri, ila sijui kama itakidhi mahitaji yako
 
Asante mkuu nipo naangalia tbc hapa ktk huu Mkutano khs sensa naona kuna watu wamevaa head phone na kushika vitu kama simu sasa sijajua kama wanatumia app AMA wireless
 
DASM

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
1,944
2,000
Msaada nimekuwa nikifuatilia mikutano,kongamano AMA hata mahakama Kuna kifaa hutumika ku translate lugha mbalimbali mfano kiswahili kwenda kijerumani,kiingereza nk. Na kinakua ear phone/head phone

Swali:-je Naweza kupata App inayoweza kufanya kitu kama hicho ? Ambayo hutolewa na kifaa hicho?
Inaitwa Google translate Ila inatumika ukiwa na internet pia inatumia hata kutafsiri Kwa sauti.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom