life change
Member
- Mar 6, 2017
- 7
- 1
Nimekuwa na sumbuliwa na maumivu chini ya kifua kwa muda mrefu, choo kuwa na marenda, kizungu zungu hadi kichefuchefu na nimetembelea hospitali nyingi hadi sanitarium.
Mara ya mwisho nilienda Kairuki nimepima Ultrasound, Echo,H-pyro, OGD kile cha kuingiza mpira kupitia mdomoni lakini vipimo vyote havikuonyesha kama na vidonda vya tumbo. Daktari akaniambia utakuwa na dalili za vidonda vya tumbo (gatistric acid hapa sina uhakika inavyoandikwa) nikapewa dawa nikashauriwa niwe nakula kwa wakati, vyakula vya mafuta nipunguze hata soda na maharage niache kutumia, nimejitahidi kufuata masharti lakini tatizo bado linaendelea.