Msaada nasumbuliwa na mafua na kukohoa sana hasa wakati wa usiku

Wakuu tatizo limejirudia baada ya mwaka mmoja siku kama ya leo ni siku ya tatu nakohoa sana
Kinachonishangaza ni kwamba tatizo limejirudia siku kama ya mwaka jana august 15 mwaka 2016nilianza kukohoa na juzi august 15, 2017 nimeanza kukohoa tena na leo ni siku ya 3 msaada pls
 
Mafua hayaji tu kwa bahati mbaya. Yana kisababishi. Tafuta chanzo cha wewe kuumwa mara kwa mara km ni magonjwa ya kuridhi, kuambukizwa au mazingira km vumbi n.k ukidhibiti. Bila hivyo utateseka na hakuna dawa utaacha tumia kupona sahau.
 
Wakuu tatizo limejirudia baada ya mwaka mmoja siku kama ya leo ni siku ya tatu nakohoa sana
Kinachonishangaza ni kwamba tatizo limejirudia siku kama ya mwaka jana august 15 mwaka 2016nilianza kukohoa na juzi august 15, 2017 nimeanza kukohoa tena na leo ni siku ya 3 msaada pls

Nenda hospital ,
 
HABAR WANAJF
Ninasumbuliwa sana na mafua ila kila ikifika usiku nakohoa sana yaan inakua tabu
yaani hii inanitokea usiku siku ya tatu hii
msaada tafadhali
Mkuu kunywa maji lita 2 kila siku baada ya wiki tu utajisikia upo tofauti kabisa. Mimi nilikuwa nasumbuliwa sana na hayo mafua kwa sasa imebaki historia tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom