Msaada: Nasikia Nacte, UDOM matokeo ya admissions yametoka

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
40,356
73,934
Naingia NACTE naona kama hakuna link ya log in , vile vile UDOM hakuna response kwenye akaunti ya kijana. Nifanyeje,
 
Si nilisikia wameahirisha mpaka watoto wetu walala hoi watakapokuwa wametoka Jeshini ndipo nao waombe bodi ya mikopp. Imekuwaje? UDOM wameshachagua tayari?
 
Ameshapigwa chini huyo, muombee hizi nafasi mpya za polisi ili akawatwange wanaufipa vizuri
 
Mkuu taratibu.

Mtoto aliapply kusoma nini? Diploma au Degree?

Tuanzie hapa. Pia ingia website ya UDOM UDOM Home utapata info zaidi.
 
Si nilisikia wameahirisha mpaka watoto wetu walala hoi watakapokuwa wametoka Jeshini ndipo nao waombe bodi ya mikopp. Imekuwaje? UDOM wameshachagua tayari?
nimesikia hivyo,lifanyie kazi unijuze hapa
 
Mbona wewe ulikua unalia mkopo mda mrefu ad ukapata
Hilo llikuwa linasoma MATI Mtwara certificate ya kilimo, nadhani lilifukuzwa. I blocked him maana lilikuwa kero na jinga si l kujibizana nalo. Ignore the stupid burger!
 
Back
Top Bottom