Msaada:Nashindwa kupost link katika Facebook page yangu inaniletea ujumbe huu

  • Thread starter Ibrahim augustine
  • Start date

Ibrahim augustine

Ibrahim augustine

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2017
Messages
378
Likes
279
Points
80
Ibrahim augustine

Ibrahim augustine

JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2017
378 279 80
Wataalamu naombeni mnisaidie mwanzo nilikua naweza kushare link zangu kwa watu ili kutafuta traffic si unajua sisi bloggers nilazima uhakikishe una traffic yakutosha sasa nashangaa kunatatizo limeanza kujitokeza toka wiki iliyo pita kila nikijaribu Kupost link katika page yangu INA andika "it could not retrieve data from URL"
Nisaidieni jamani mnipe mawazo Nina amini humu kuna wapo watu humu wana ujuzi zaidi yangu
Nawakaribisha wakuu!!
 
K

Kifuna

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2008
Messages
431
Likes
28
Points
45
K

Kifuna

JF-Expert Member
Joined Aug 7, 2008
431 28 45
Watakuja wataalam kukwambia nini ufanye, lakini mimi nasema zima simu, toa betri, subiri dakika tatu. kisha unganisha simu na kuiwasha itarudi normal lakini ikirudia tena kuleta ujumbe huo nijulishe.
 
Ibrahim augustine

Ibrahim augustine

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2017
Messages
378
Likes
279
Points
80
Ibrahim augustine

Ibrahim augustine

JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2017
378 279 80
OK mkuu ngoja nijaribu
Watakuja wataalam kukwambia nini ufanye, lakini mimi nasema zima simu, toa betri, subiri dakika tatu. kisha unganisha simu na kuiwasha itarudi normal lakini ikirudia tena kuleta ujumbe huo nijulishe.
 

Forum statistics

Threads 1,237,078
Members 475,401
Posts 29,277,500