Msaada: Nashindwa kupata output katika code

thesym

JF-Expert Member
Aug 15, 2012
3,791
4,679
nashindwa kupata output katika hii kodi kila nikirun output inafail.
Code:
#include<iostream>
#include<vector>
#include<sstream>
#include<fstream>
using namespace std;
int main()
{
    vector<vector <double> > mat;
    vector<double>meanvector;
    ifstream rea("read.txt");
    string s;
    while(!rea.eof())
    {
        rea>>s;
        vector<double>temp;
        double temp1;

        while(rea>>s && s!="#")
        {
            stringstream convert(s);
            convert>>temp1;
            temp.push_back(temp1);
        }
        if(!temp.empty());
        mat.push_back(temp);
    }
    cout<<"Now the vector mean is:"<<endl;
    for(int i=0;i<mat[i].size();i++)
    {
        double sum=0;
        for(int u=0;u<mat.size();u++)
        {
           sum=sum+mat[u][i];
        }
        for(int j=0;j<1;j++)
        {
            cout<<sum;
        }
        meanvector.push_back(sum/mat.size());
    }
}

input data katika text file read.txt
D1 2 2 0 #

D2 2 3 5 #

D3 5 7 1 #

D4 5 7 1 #

D5 5 7 1 #
 
console inarun baadae ina stop
Nimejaribu kupitia hio code, kama sikosei nimeona ni sehemu moja tu ambapo unaweza kutoa output zako kwenye console ambayo ni "cout<<"Now the vector mean is:"<<endl;" hii sehemu kama inatakiwa kutoa output atleast inatakiwa kuwepo return variable au call function lakini hakuna unless kwenye code zako kuna sehemu sijaiona
 
nashindwa kupata output katika hii kodi kila nikirun output inafail.

Mkuu umejaribu kufanya debugging kwanza kwa kucheki kama inasoma file lenyewe?? I mean kwanza uangalie kama code yako inafika kwenye hiyo while loop ya kwanza unaweza kujaribu kwa "cout" kucheki kama imefika, then udebug kucheki kama imesoma file lenyewe kwa kuprint out content ya file wakati inalisoma....

Alafu another thing, hiyo for loop yako ya kuprint out sum, kwa nini unatumia loop huku you are not even looping?? "for (int j=0; j<1; j++)" just print out the sum bila kuiweka ndani ya loop
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom