MSAADA: Nashindwa ku-log in kwenye akaunti ya HESLB

Habari zenu wadau, bodi ya mikopo imesema wamefungua dirisha la marekebisho na kuanzia leo unaweza ku upload nyaraka ambazo ulishindwa ku upload kipindi kile.Ila kwenye account nikilog in nakuta habari hii.Mwenye kujua nawezaje kurekebisha naomba anisaidie.
InShot_20201118_095123848.jpg
 
Kwenye Account ya jamaa yang wamemwandikia congratulations af ukiangalia allocation wameweka hivyo
Screenshot_20201118-095503_Chrome.jpg
 
Hii inawatokea mlio na user name za email au jina tofauti na form four index no;-

Kwa kukusaidia fanya ya futayo

Ukifika kwenye ukurasa OLAMS,

1. Log in kam register applicant

2. kama user name ilikuwa ni email au jina lingine tofauti na namba yako ya kidato cha nne badili na uandike namba yako ya mtihani wa kidato cha nne na mwaka wakumaliza bila kubadili password yako!!

Mfano: S2020.0004.2017


Asante, fanya hivyo unipe mrejesho!!!
Naomba msaada maan nimefanya ivyo ila bdo inaniletea weup tu ndugu yang
 
MSAADA JAMANI NIMEKWAMA HAPO NASHINDWA KUPRINT PACKAGE YA FORM ZANGU ZOTE ILI NIENDE NIZITUME POSTA NIKIBONYEZA PRINT INA LOAD ................................ TU BILA MAFANIKIO Captureggd.JPG mkopo.JPG
 
Back
Top Bottom