Msaada: Napataje police certificate kwa ajili ya visa?

Omulangi

JF-Expert Member
Feb 12, 2008
1,036
265
wana Jf naomba msaada wa kujua namna ya kupata police certificate ili kuombea visa ya kuishi ughaibuni (Albania) kwa ajili ya masomo.
 
Nenda pale uhamiaji posta kama uko Dar .Nenda na 2,000 /= ,tafuta peni na karatasi .sababu utaambiwa uandike barua ya kuomba na utawachia.

Pia nenda na picha.( passport size) tena wala hauna aja ya kuingia ndani ya mjengo.Ukiingia mule kwa ndani upande wa turubai utawaona.

Ni fasta tu kisha utaambiwa uende kuchukua baada ya wiki 1.Labda kama una haraka utasema.

kama una swali la nyongeza uliza
 
Ahsante sana kwa taarifa. Na je Huduma hii inapatikana mkoani au mpaka nije Dar?

Ni fasta tu kisha utaambiwa uende kuchukua baada ya wiki 1.Labda kama una haraka utasema.

kama una swali la nyongeza uliza

Ahsante sana kwa taarifa. Je huduma hii inapatikana pia mkoani au mpaka nije Dar?
 
wana Jf naomba msaada wa kujua namna ya kupata police certificate ili kuombea visa ya kuishi ughaibuni (Albania) kwa ajili ya masomo.

nenda pale wizara ya mambo ya ndani watakupatia kitu inaitwa fingure print clearnce kwa ajili ya viza, ukifika tu getini watakuelekeza wapi hiyo huduma inapatikana
 
Back
Top Bottom