Msaada: Napata watoto wa kiume pekee

Umejaribu kufata kalenda?? Siku za hatari zinavyoenda kuna siku za mtoto wa kike na wa kiume pia kuna milalo ya kupata jinsia utakayo
 
Kama kweli unaipenda United lea watoto wako kimichezo watakuja kuipa timu yako heshima
 
Asie kubali kushindwa si mshindani

Asie shukuru huyo ni shetani,

Nachukua fursa hii kumshukuru muungu kwa kumsaidia mkewangu kujifungua salama masaa tisa yaliyo pita, ila kuna duku duku ninalo ndani ya moyo wangu.

Oyah ndugu zangu, usiku wa jana Mungu ameejaalia mkewangu kajifungua salama mtoto, nashukuru sana kwa hilo.

Tatizo watoto tunaozaa ni wajinsia moja tu.

Huwezi amini tumebahatika kapata watoto watatu nawote ni wakiume tu.

Binafsi nina watoto wanne, huyu mmoja ni wapenati, (Nje ya ndoa) ila naye ni wakiume.

Nashindwa kuelewa tatizo langu ni nini?

Kwa mama yangu tumezaliwa watoto 8 wakike ni mmoja tu.

Na huyo dada yangu nae ana watoto watatu wote ni wa kiume tu.

Kiukweli sio mimi tu, mpaka mama yangu hana ham hata kidogo.

Mpaka muda huu sija mpigia simu mama kumtarifu kua mkwewe kazaa, sababu najua hata shtuka, sababu watoto wakiume hana ham nao.

Kwahiyo nime kuja kwenu wakurungwa (Mlio ni zidi umri na maarifa) ni fanyaje ili na mimi nilipe DENI? (nizae mtoto wa kike?)

Jamani watoto wa kiume sisi hatusaidii família, bora wenzetu wakike.

Nisaidieni jamani mwenzenu nimekwama.

Tulipanga na mkewangu baada ya kuzaa mimba hii (angezaliwa wa kike) tupumzike miaka 10 bila kutiana mimba, lakini naona kibarua cha kumtafuta wa kike kinaendelea.

Msaada jamani, huwezi amini mkewangu kajifungua salama lakini sio yeye wala mimi mwenye ham na mtoto.

Msaada jamani natamani kulia peke yangu, duh hata mmoja!
Mpendeni mtoto , hata mm ni machalii ni wa kiume tu, na home kwetu maza alipata mtoto mmoja wa tu wa kike, wengine hawakuweza ku survive, the rest ni wa kiume tu. Mtihani huu
 
Endapo mkeo ana mzunguko wa siku 28, anza kumpelekea moto siku ya 9-11 kutoka siku aliyopata hedhi, hapa unawahi kabla yai halijatoka ili kuua mbegu ya kiume yenye maisha mafupi, hivyo yai litakuta mbegu ya kike tu,
siku 12-16 usiguse japo wanakuwaga wanajoto sana na ukigusa tu unaleta dume jingine , Hii ndio iwe ratiba yako ya kudumu, muwe na kalenda mshirikiane kwa pamoja na hasa wewe ushiriki zaidi kumakinika.
 
Sisi wa kwanza wa kike amefariki, wa pili tumepata wa kiume

Hapa nakaa miezi6 tutafute mapacha
Mh, mapacha!
Nipe hiyo mbinu na mimi nawahitaji sana hao pea.
Ila wa kike bhana ndio kiu yangu itatulia.
 
Asie kubali kushindwa si mshindani

Asie shukuru huyo ni shetani,

Nachukua fursa hii kumshukuru muungu kwa kumsaidia mkewangu kujifungua salama masaa tisa yaliyo pita, ila kuna duku duku ninalo ndani ya moyo wangu.

Oyah ndugu zangu, usiku wa jana Mungu ameejaalia mkewangu kajifungua salama mtoto, nashukuru sana kwa hilo.

Tatizo watoto tunaozaa ni wajinsia moja tu.

Huwezi amini tumebahatika kapata watoto watatu nawote ni wakiume tu.

Binafsi nina watoto wanne, huyu mmoja ni wapenati, (Nje ya ndoa) ila naye ni wakiume.

Nashindwa kuelewa tatizo langu ni nini?

Kwa mama yangu tumezaliwa watoto 8 wakike ni mmoja tu.

Na huyo dada yangu nae ana watoto watatu wote ni wa kiume tu.

Kiukweli sio mimi tu, mpaka mama yangu hana ham hata kidogo.

Mpaka muda huu sija mpigia simu mama kumtarifu kua mkwewe kazaa, sababu najua hata shtuka, sababu watoto wakiume hana ham nao.

Kwahiyo nime kuja kwenu wakurungwa (Mlio ni zidi umri na maarifa) ni fanyaje ili na mimi nilipe DENI? (nizae mtoto wa kike?)

Jamani watoto wa kiume sisi hatusaidii família, bora wenzetu wakike.

Nisaidieni jamani mwenzenu nimekwama.

Tulipanga na mkewangu baada ya kuzaa mimba hii (angezaliwa wa kike) tupumzike miaka 10 bila kutiana mimba, lakini naona kibarua cha kumtafuta wa kike kinaendelea.

Msaada jamani, huwezi amini mkewangu kajifungua salama lakini sio yeye wala mimi mwenye ham na mtoto.

Msaada jamani natamani kulia peke yangu, duh hata mmoja!
Kupata madume watupu ni baraka ..na kwa maana hiyo ww kama baba si muhuni..congrats
 
Aanze kusaidia yeye kwanza
Nasaidia lakini simfikii dada yangu.
Pia naamini mkewangu anasaidia sana familia yake kuliko hata kaka zake.

Maana yake, anacho toa dada yangu kwenye familia yetu kinatoka kwa mumewe, na anachotoa mkewangu kwenye familia yake kinatoka kwangu.

Tukubali tukatae, watoto wa kike ndio fao la uzeeni.
 
Wakati unalia lia tembelea page ya counsillor salaah uone 😅😅😅 hili tatizo sio kwako tu sema jamaa kitachomsaidia ana hela ila vinginevyo kina prince dully sykes wangeweza kumtia simanzi mapema sana😅😅😅
Hahahaaa umeandika kitaalam sana hii

Muhuni yule anafyatua pisi tu Mungu huyu😂😂
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom