Msaada: Napata ujumbe huu ninapolog in TCU

Kaunga

JF-Expert Member
Nov 28, 2010
12,530
13,467
SORRY, YOU DO NOT HAVE ENOUGH O-LEVEL CREDITS TO APPLY
YOU NEED ATLEAST 3 C's IN ANY OF THE O-LEVEL SUBJECTS
IF YOU HAVE RESEATED O-LEVEL EXAMS, ADD FORM 4 SEATS


Ninamjazia dogo mmoja form, lakini ukienda hiyo kwenye re-seat page haina kitu. Sijui cha kufanya, misimu yao haipokelewi.
 
ingia kwenye add form 4 seatsing,ingiza namba ya form 4 aliyo resitia alaf na mwaka alio risit mfano P0101/0033/2010,ALAF ENDELEA KWENYE APPLICATION KUSHOTO
 
ingia kwenye add form 4 seatsing,ingiza namba ya form 4 aliyo resitia alaf na mwaka alio risit mfano P0101/0033/2010,ALAF ENDELEA KWENYE APPLICATION KUSHOTO

Nimeingia lakini page haioneshi kitu, ndio maana nimechanganyikiwa.
 
Mie hapo sijaelewa!! Unaposema umeingia halaf page haina kitu!! Sielewi hapo! Asa kama huja- add namba aliyorisiti nayo utaonaje kitu kwenye page na wakat wewe hujaweka chochote? Au wewe ulitegemea ukisha-click > add form 4 sit ukute nini? Ukisha-click hyo add sit, ni lazima ukute empty page for you to write what you want to write!!! Au mi ndo Mgeni!!
 
Back
Top Bottom