Msaada: Napata maumivu ya visigino na magoti

Lukonge

JF-Expert Member
Jul 31, 2015
509
1,000
Habar wapendwa ..naomba kuuliza n dawa gan inasaidia maumivu ya VISIGINO NA maumivu katika magotii

Kabla ya suala la dawa ni vyema kujua:
1: Umri
2: Uzito
3: Aina ya kazi unayofanya
4: Umekuwa na tatizo hili kwa muda gani?
5: Kuna kuvimba au kupata joto kwa maeneo husika.
6: Inatokea sehemu zote mbili, yaani kushoto na kulia?
 
Mivyumba

Member
Apr 20, 2017
63
125

Muuza Swali Amenisaidia kuuliza !
Kwangu mimi ni maumivu ya kisigino,mguu wa kushoto

1. Umri ni miaka 30
2. Kg 72
3. Kazi zangu ni za kutembea but si sana
4. Tatizo lina 4 month now
5.Hauvimbi na wala haupati joto ila maumivu wakati Mwingine hutoka kwenye kisigino na kuenea hadi kwenye joint ya mguu
6.ni Sehemu moja tu ya mguu wa kushoto.

NB
Maumivu haya ukiwa kwenye mizunguko ya kawaida hauwezi kuyasikia,ila huanza pale unapokuwa imekaa au ukiwa umelala unapotaka kuamka maumivu huuma sana
 
Ok, natuma PM.
 
donpier91

JF-Expert Member
Sep 15, 2016
428
500

Punguza uzito!!
 
sysafiri

JF-Expert Member
Sep 19, 2019
1,160
2,000
Nenda hospitali Daktari akuandikie kupiga X-Ray ya visigino na Magoti kujua tatizo lenyewe likoje!
 
Lukonge

JF-Expert Member
Jul 31, 2015
509
1,000
Kama hautojali,naomba utume tu hapahapa ili Mwingine pia apate msaada plz🙏🙏

Ugonjwa huwa hautibiwi kwa mgonjwa kujilinganisha na mwenzake. Kila mmoja anawajibika kusikilizwa kivyake. Na kuna maswali kulingana na ugonjwa huwezi yauliza kwa kadamnasi.

Tiba pia zaweza kutofautiana kulingana na kwa mmoja chanzo kutofautiana na mwingine.

Pia ugonjwa hutofautishwa kwa urefu wa muda, kiasi cha dalili etc

Mambo yanakuwa ni mengi tuvumiliane.
 
Mivyumba

Member
Apr 20, 2017
63
125
Nimekuelewa mkuu
Asante🙏

Ugonjwa huwa hautibiwi kwa mgonjwa kujilinganisha na mwenzake. Kila mmoja anawajibika kusikilizwa kivyake. Na kuna maswali kulingana na ugonjwa huwezi yauliza kwa kadamnasi.

Tiba pia zaweza kutofautiana kulingana na kwa mmoja chanzo kutofautiana na mwingine.

Pia ugonjwa hutofautishwa kwa urefu wa muda, kiasi cha dalili etc

Mambo yanakuwa ni mengi tuvumiliane.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom