Msaada: Napata maumivu juu ya ziwa la kushoto, niende hospitali gani?

Habari zenu wakuu,

Upande wa kushoto Kuanzia juu ya ziwa Kuna wakati napata maumivu yanaenda hadi mgongoni na wakati mwingine hadi mkononi
Na akiwa na hasira ndo yanazidi...
Nenda hospitali yoyote ya ya SERIKALI I we ya Mkoa Rufaa au Wilaya Kama upo mbali na hhizo za Rufaa na mkoa
 
Tatizo lipo kwenye Moyo ni either umetanuka na kupelekea Oxygen kuwa ndogo.
Nenda kafanye vipimo hivi ECO na ECG tatizo lako litaonekana kwa haraka.

Mola akuponye na awaponye wote wanaosumbuliwa na maradhi mbalimbali waliopo Mahospitalini, Majumbani na wale Wanaotembea nayo barabarani.
 
Pole mkuu nilipata tatizo kama lako pia nikafanya vipimo vya moyo sikuwa na tatizo, Dr aliniambia nijitahidi nipunguze stress niliambiwa ni angina nitumie asprin kidonge kimoja daily na zoezi. Niko vizuri
Asprin zipi hizo dr alikushauri utumie
 
Pole mkuu nilipata tatizo kama lako pia nikafanya vipimo vya moyo sikuwa na tatizo, Dr aliniambia nijitahidi nipunguze stress niliambiwa ni angina nitumie asprin kidonge kimoja daily na zoezi. Niko vizuri
Yes niliexperience hii.. Nikiwa na stress inakuja.. Pia aangalie pia tatizo la gas na acid reflux huwa inachangia
 
Tatizo lipo kwenye Moyo ni either umetanuka na kupelekea Oxygen kuwa ndogo.
Nenda kafanye vipimo hivi ECO na ECG tatizo lako litaonekana kwa haraka.

Mola akuponye na awaponye wote wanaosumbuliwa na maradhi mbalimbali waliopo Mahospitalini, Majumbani na wale Wanaotembea nayo barabarani.
Ameena
 
Pole mkuu nilipata tatizo kama lako pia nikafanya vipimo vya moyo sikuwa na tatizo, Dr aliniambia nijitahidi nipunguze stress niliambiwa ni angina nitumie asprin kidonge kimoja daily na zoezi. Niko vizuri

Unatamia hizo aspirin kwa muda gani?
 
Back
Top Bottom