Msaada: Naota nagombana na mdogo wangu, nikiamka ndani ya familia kunakosa amani siku hiyo

mnyalukoloh

Member
Jun 8, 2015
74
28
Habari wana jamii interejensi.

Nina hali inanisumbua...kwenye familia yetu tumezaliwa wanne wanaume wawili...kuna ndoto huwa zinajiludia huwa naota nagombana na huyu mdogowangu wa kiume na malanyingi huwa nakuwa mshindi na baada ya kuamka siku hiyo huwa amani kat yangu na mama yetu au mwanafamilia yoyote huwa haiwepo kabisa.
wataalam wa ndoto naomba mnisaidie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pepo hilo, likemee, sali au swali kabla ya kulala, inategemea na imani yako
Habari wana jamii interejensi.

Nina hali inanisumbua...kwenye familia yetu tumezaliwa wanne wanaume wawili...kuna ndoto huwa zinajiludia huwa naota nagombana na huyu mdogowangu wa kiume na malanyingi huwa nakuwa mshindi na baada ya kuamka siku hiyo huwa amani kat yangu na mama yetu au mwanafamilia yoyote huwa haiwepo kabisa.
wataalam wa ndoto naomba mnisaidie

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hapana hajaoa.ila mimi nimeoa

Sent using Jamii Forums mobile app
Unazo nguvu za mzimu kutoka upande wa bibi yako ambazo mara nyingi hutumika kukuokoa na shida mbalimbali zinazosababishwa na watu wabaya wakiwa wamevaa sura ya ndugu yako ili aonekane yeye mbaya..

Hawa watu wabaya wanataka kusambaratisha familia yenu msielewane,msipate mafanikio,mchukiane na kuonana wabaya nyie kwa nyie.

Omba mungu sana na usijaribu kuonesha chuki juu ya ndugu zako kwa watu wengine kwani hii huwapa alert kwamba mbinu yao au dawa yao imefanikiwa hivo kuongeza dose,so jitahidi kucheka na kuongeza upendo zaidi kwa ndugu zako brother.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inaonekana unatamaa na hizo mali za wazazi wako hapo nyumbani na mara zote unaona kama huyo mdogo ako wa kiume ndiye kipingamizi kwako juu ya hili.

Sent using Jamii Forums mobile app
Na inavyoonekana huyo mdogo wake kamzid nguvu, na huyu kaka kuna vitu anavutia kwake lakini havimuhusu ndio maana akiamka pamoja na ushindi wa ndotoni bado familia haikubaliani nae.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mae
Habari wana jamii interejensi.

Nina hali inanisumbua...kwenye familia yetu tumezaliwa wanne wanaume wawili...kuna ndoto huwa zinajiludia huwa naota nagombana na huyu mdogowangu wa kiume na malanyingi huwa nakuwa mshindi na baada ya kuamka siku hiyo huwa amani kat yangu na mama yetu au mwanafamilia yoyote huwa haiwepo kabisa.
wataalam wa ndoto naomba mnisaidie

Sent using Jamii Forums mobile app
Maelewano kati yako na mdogo wako ndio tameishika familia na kama mkivurugwa basi familia yenu itasambaratika.

Hivyo wachawi wameanza kutafuta upenyo katika ulimwengu wa roho ili itokee kweli katika ulimwengu wa mwili.

Wawahi hao wachawi kabla haijawa kweli kwa kuwasambaratisha kwa maombi mazito kila uamkapo na kabla ya kulala.
 
Unasema wewe huwa mshindi, je unaota mnapigana au mnabishana?
Habari wana jamii interejensi.

Nina hali inanisumbua...kwenye familia yetu tumezaliwa wanne wanaume wawili...kuna ndoto huwa zinajiludia huwa naota nagombana na huyu mdogowangu wa kiume na malanyingi huwa nakuwa mshindi na baada ya kuamka siku hiyo huwa amani kat yangu na mama yetu au mwanafamilia yoyote huwa haiwepo kabisa.
wataalam wa ndoto naomba mnisaidie

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hapana hajaoa.ila mimi nimeoa

Na unakaa kwenu na waifu wako au familia yote imehamia kwako..????

Kama huna tatizo lolote na mdogo wako basi jua kabisa something is coming, so uwe unasuluhisha sana hiyo migogoro
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom