msaada naombeni mweny makala vyijitabu vyenye maelezo ya mama mjamzito atuwekee | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

msaada naombeni mweny makala vyijitabu vyenye maelezo ya mama mjamzito atuwekee

Discussion in 'JF Doctor' started by Mfuatiliaji, Nov 18, 2009.

 1. M

  Mfuatiliaji Senior Member

  #1
  Nov 18, 2009
  Joined: Jun 5, 2008
  Messages: 152
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  jamani wapenda ninatafuta vyitabu au makala kwa ajili ya kujua mambo ya mama mjamzito kwa sasa nina ujauzito wa miezi 2 ila nataka nitape vyitabu ili niweze kutunza mimba vizuri kwanini naamini mtoto nitakaye mzaa atakuwa mwanamapinduzi hapa kwa mwenye maelezo yoyeto ya jinsi ya mama mjamazito anatakiwa kula kutunza mimba please nitumie japo nisome naamini itasaidia na wengine. naombeni vyitabu vya kiswahili. kulala na mambo yote muhimu akinipa nitamshukuru
   
 2. Jayfour_King

  Jayfour_King JF-Expert Member

  #2
  Nov 18, 2009
  Joined: Nov 15, 2009
  Messages: 1,142
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Tatizo ninalo liona ndugu yangu ni lugha uliyochagua.
  Kama ungewaachia watu uhuru wa kukusaidia kutafuta makala bora ya jinsi ya kutunza mimba nina hakika isingekuwa tatizo kwani tengekwenda kwenye web search yoyote na kuandika "best theory on how to care about pregnant/pregnancy" ungepata nondo kibao uchaguzi ungekuwa wa kwako umchukue mchapishaji gani. Lakini kwa lugha uliyochagua tutalazimika kuwa wakalimani, hii naiona haijasimama sawasawa kwa sababu kuwa mkalimani ni taaluma inayojitemea ili kumsaidia mtu leo itakuwa ni ngumu kidogo kujifunza taaluma mpya kwa ajili ya kumsaidia mdau.

  Kama unaweza kubadilisha hiyo option then nenda yahoo/google/infoseek/msn na nyingine nyingi seach utapata how to handle your new preg.

  Karibu sana.
   
 3. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #3
  Nov 18, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,466
  Likes Received: 5,708
  Trophy Points: 280
  Mkuu mfuatiliaji usiwe na shaka mi yangu miezi 4 ninaishi kwa vitabu maalum
  sasa

  1)kinaitwa your pregnancy week by week by hamlyn
  ni sh 26,000 wasikbambike zaid wanaanza na 35,000  nikifika numbani ntakutumia vingine niko kwa ofisi hapa hiki ndicho nakikumbuka zaid mungu akutie nguvu kwenye uleaji wako
   
 4. Pretty

  Pretty JF-Expert Member

  #4
  Nov 18, 2009
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  .....Kuna somo lilikuwa linafundishwa primary school nadhani bado wanafundisha, linaitwa sayansi kimu/maarifa ya nyumbani.Tafuta hicho kitabu ni kizuri, kinaelezea kila kitu kuhusu mimba na malezi yake tena kwa lugha hiyo ya kiswahili.
  ......Unaweza kukipata hichi kitabu kwenye bookshop au unaweza kwenda taasisi ya elimu pale mwenge napo wanauza hivi vitabu.
   
 5. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #5
  Nov 19, 2009
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Tafuta kitabu cha Dk. David Wener, kitabu chake kiitwacho "Mahali pasipo na Daktari" Labda kinaweza kukusaidia. (Sina uhakika sana)
   
 6. M

  Mfuatiliaji Senior Member

  #6
  Nov 23, 2009
  Joined: Jun 5, 2008
  Messages: 152
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  tatizo nipo kijijini nimejaribu kutafuta sijapata na nimuhimu niwenacho kama unaweza naomba uniwekee online kuna kimoja nimekiona nashindwa kukipanga labda niwape wadau mnisaidie kwani nazani ni kitabu chenye maelezo mazuri sana kwangu ila kiliscaniwa sasa sijui nianza wapi niishie wapi kama kuna mtu anaweza kukipanda na kunitumia kwenye PM au hapa hapa nitashukuru.
  ukweli ni kwamba nimekisoma nikachanganyikiwa kabisa mara wiki ya 6 nikiendelea nakuta wiki ya tatu mhh makubwa msaaa wandugu
   

  Attached Files:

 7. M

  Mfuatiliaji Senior Member

  #7
  Nov 24, 2009
  Joined: Jun 5, 2008
  Messages: 152
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  wandugu hakuna aliye weza kukipanga hiki kitabu jamani ?
   
 8. Oxlade-Chamberlain

  Oxlade-Chamberlain JF-Expert Member

  #8
  Nov 24, 2009
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 7,928
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  nenda babycenter.com kuna information na pia jiandikishe hapo watakuwa wanakupa ushauri na wanakwambia jinsi mimba yako inavyokwenda kila wiki mpaka unajifungua.na baada kujifungua watakuongoza jinsi ya kumkuza mtoto wako mpaka utakapo choka wewe.na pia utasoma comments za wajawazito wenzako humo pia.wanakutumia email kila wiki na unavyoendelea na nini ufanye kuanzia hapo ulipo sasa (miezi miwili).hii web ilimsaidia sana mke wangu na pia kumkuza mtoto wangu mwaka wa kwanza.manake wana kuinform kila wiki changes unazopata wewe na mtoto wako ndani.


  nakutakia kila la kheri kwenye kulea mimba yako na ujifungue salama.
   
 9. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #9
  Nov 25, 2009
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Nimejaribu kukipanga kadiri ya uwezo wangu, Maana kazi yenyewe niliianya usiku, tusameheane kwa makosa madogo madogo.... Sikuweka picha, ila zile chat muhimu tu.

   
 10. M

  Mfuatiliaji Senior Member

  #10
  Nov 26, 2009
  Joined: Jun 5, 2008
  Messages: 152
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  nashukuru ngoja nijaribu kukicheki ubarikiwe
   
Loading...