Msaada: Naombeni list ya shule 100 bora ufaulu O Level

katakunsina

Member
Jun 6, 2020
12
6
Habari wadau,

Naomba kujua ufaulu wa o level mwaka jana ulikuwaje. Shule za serikali zili perform vipi, pia naomba list ya shule 100 bora Tanzania nzima.
 
Dah ila umeamua kututesa sasa si ungeingia mtandaoni ukaziomba.

Mbona Watu mnapenda kutesana hivyo?
 
Back
Top Bottom