It depends huoni kwa umbali gani kwa sababu na lens zinatofautiana Bei kutokana na ukubwa wa namba ya lensWakuu naomba kujua bei za frem za plastic za miwani ya macho ni bei gani na ninaweza kununua frem za kawaida nikapeleka waka weka lenz.
Pia naomba kujua bei halisi ya miwani ya macho ya MTU asie ona umbali mrefu.