Msaada: Naombeni email za SGR Dodoma to Moro, Mwanza to Isaka pamoja na bomba la mafuta

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
19,515
44,573
Wakuu nadhani kichwa cha maada kimejitosheleza..nataka niombe kazi kwenye hii miradi so ningependa nipewe email zao.

Natanguliza shukrani
 
Kwa mradi wa Mwanza to Isaka nenda Mwanza wilaya ya misungwi sehemu moja inaitwa usagara fika ulizia FERA utapelekwa na boda hadi kwenye mradi nauli ya boda 1,000
Fika pale onana na mwenyekiti andikisha jina na weka cv yako pale..
Subiri utaitwa kuanza kazi.
Kazi zilizonyingi ni za mafundi wa kila aina.
Mchina hana email.ukifika pale utakutana na mabaharia wakila mkoa wako pale wametega.
Mradi unategemea kuanza mwezi huu mwishoni au wanane mwanzoni..wanategemea kuchukua vijana 11,000 wa kitanzania.
 
Back
Top Bottom