ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 19,553
- 44,722
Wakuu nadhani kichwa cha maada kimejitosheleza..nataka niombe kazi kwenye hii miradi so ningependa nipewe email zao.
Natanguliza shukrani
Natanguliza shukrani
SGR ni oac@ym.com.tr tuma cv only bila letterWakuu nadhani kichwa cha maada kimejitosheleza..nataka niombe kazi kwenye hii miradi so ningependa nipewe email zao.
Natanguliza shukrani
Shukrani sana mkuu sanaSGR ni oac@ym.com.tr tuma cv only bila letter
send your cv onlyShukrani sana mkuu sana
Unaomba kwa nafasi gani??Wakuu nadhani kichwa cha maada kimejitosheleza..nataka niombe kazi kwenye hii miradi so ningependa nipewe email zao.
Natanguliza shukrani
And that CV should be in PDF format?osend your cv only
Una uzoefu gani??And that CV should be in PDF format?o
Hydrology and metereologyUna uzoefu gani??
Kila la kheri ndugu,ila vzr ungeingia field ukapambane man to man maana nasikia hizo ajira ni mguu wa shingo mguu wa mbavu watu wamechafuka lazima ukakabie juu kama Italy ndio upate ushindi.Ila mafundi wao wanaserereka tu😇😇😇Hydrology and metereology
mwambie borqa ahamie chadema huko ni full ushoga tu unaliwa mambo yaneendeleaKaka unateseka...pole sana kaka...CCM NDIE MCHAWI WAKO NAKUPA HII SIRI KAKA.