MSAADA:Naombeni Course outline Msc.Project Planing and management Mzumbe.

Chinga One

JF-Expert Member
May 7, 2013
11,433
12,282
Nime jaribu kuchek kwenye website yao sijafanikiwa kuipata,kama kuna chuo kingine kinachotoa hiyo kozi naomba mnijuze pia.
 
Kama Ungehitaji hekima usinge comment ujinga,muwe waelewa kwa mambo yasiyo taka utani kama una akili ya utambuzi utakua umejifunza kitu hapa....LET US 4GET BOUT PAST....100.
mkuu kama ulikuwa una maanisha masters of economics(project planning and management) ya mzumbe? jaribu kudownload current prospector wameelezea vizuri content zake
ila kampala international university dar campus nahisi wanayo! jaribu kufatilia pia
kila la heri mkuu!
 
mkuu kama ulikuwa una maanisha masters of economics(project planning and management) ya mzumbe? jaribu kudownload current prospector wameelezea vizuri content zake
ila kampala international university dar campus nahisi wanayo! jaribu kufatilia pia
kila la heri mkuu!
Thanks Mods Kwa Kuondoa comments zangu chafu..,

Mkuu niwie radhi kwa lugha ambayo niliitumia haikua ya kiungwana hata kidogo hata mwenyewe sikuipenda nili panic kiaina Mungu na anisamehe,iam so sorry mkuu,kozi ambayo nilimaanisha ndio yenyewe thanks kwa taarifa ngoja niicheki.
 
ITS HERE WELCOME TO THE DIFFERENTIATED PROGRAM HERE AT MZUMBE,
Master of Science in Project Planning and Management (MSc. PPM) The Master of Science degree in Project Planning and Management has been designed to cater for the needs of students who plan a career in project planning and management. It is a highly specialized and relevant programme given the rising challenges of effective planning and management of development projects – both public and private projects. While maintaining a focus in economics, the MSc Project Planning and Management programme prepares students to plan and manage projects in a wide range of other sectors and environments. Programme Structure
Semester 1
Semester 2
Semester 3 ECO 500 Managerial Economics
ECO 610 Research Methodology DISSERTATION ECO 504 Project Planning & Financial Analysis ECO 606 Development Financing ECO 509 Public Sector Economics ECO 604 Human Capital Management & Organization in Projects ECO 505 Project Implementation Management ECO 603 Economic Analysis of Projects ECO 506 Development Economics ELECTIVE 20CP 20CP 16 CP Elective Courses: ECO 611 Natural Resource and Environmental Economics ECO 612 Labour Economics ECO 613 Health Economics SIJAIPANGA VIZURI BUT DOWNLOAD HAPA
 

Attachments

  • MU_Prospectus_for_2013_2014.pdf
    682.6 KB · Views: 1,603
Pamoja sana mkuu Danp36,nikusumbue tena kidogo,vipi kuhusu entry requirements i mean applicants should they posses only bachelor digrii ya economics au inayo relate? au hata kwa PSPA,B.Aed,HR nao wanaweza chukuliwa?...with thanks...
 
sawa mweshimiwa,lakini wanataka ume na SOLID ECONOMICS FOUNDATION AT BACHELOR DEGREE LEVEL,DONLOAD HAPO CHINI REQUIREMENT WANATAKA UWE NA ATLEAST SECOND CLASS YA MZUMBE OR OTHER RECOGNIZED INST AU KAMA MTU ANA LOWER NA HE IS FROM POST GRADUATE
 

Attachments

  • call for masters.pdf
    171.4 KB · Views: 618
sawa mweshimiwa,lakini wanataka ume na SOLID ECONOMICS FOUNDATION AT BACHELOR DEGREE LEVEL,DONLOAD HAPO CHINI REQUIREMENT WANATAKA UWE NA ATLEAST SECOND CLASS YA MZUMBE OR OTHER RECOGNIZED INST AU KAMA MTU ANA LOWER NA HE IS FROM POST GRADUATE

....thanks I got it....
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom