Msaada, naomba usiache kupita hapa tafadhali

fasi dwasi

R I P
Sep 23, 2018
105
98
Habari za humu ndani wakuu? Hope you are good.

Wataalamu nina tatizo ambalo nahitaji ushauri au mtu yoyote mwenye uelewa hili suala tunaweza kulisolve vipi.

Ipo hivi..

Kuna mtu nilifanya naye biashara fulani hivi mwaka jana ilikuwa ni October, pesa nisingependa kuiweka hadharani aina hiyo y abiashara but wote tulitoa pesa kuifanya hiyo business but mwisho wa siku katika mizunguko ya kibiashara kuna pesa zilikwama hatukulipwa kwa wakati na tuliisubiri mpaka mwisho tulikata tamaa ya kulipwa, though ilikuwa mwezi wa 3 niliitwa mimi kwa ajili ya kwenda kufanya uhakiki wa mambo fulani hivi, kusign baadhi ya documents nilienda na nilifanya hivyo then tuliendelea kusubiria mzigo.

Ila huyu mwenzangu alikuwa ni wa kike na mimi ni kiume zaidi kwa hiyo huu ukaribu wa kibiashara ulitufanya tu develop mahusiano mengine sasa ambyo tulikuwa na hayo mahusiano tangu hiyo October tunaanza biashara yetu.

Ile ilipofikia March this year mimi na yeye hatukuwa vizuri kwa kweli mara nyngi tulikuwa tunazozana sana na kugombana.

Nadhani hii hali ilitokana na ukata wa pesa because tuli-invest pesa yaani pesa ambazo kila mtu ndo alikuwa nayo mfukoni mwake so baada ya hapo tulianza kuishi maisha ya kuunga unga na complain yake ilikuwa tulikosea kufanya aina ya biashara though haikuwahi kutokea hicho kitu cha kudelay kupata pesa kwa wafanya biashara wengine before.

April baada ya kugombana sana kila mtu alichukua time yake na hatukuwa na story tena.

Issue ni kwamba tulitumia account yake ya CRDB kwa ajili ya kupokelea malipo ya zile pesa zetu lakini mimi nilikuwa na full details endapo pesa zikitoka ningelijua tu.

So sikuwa na hofu, nakumbuka mwezi wa 7 nilimpigia simu ili kumsalimia tu ila ninachokikumbuka ni kwamba sauti yake ilikuwa ina utofauti sana akaniambia anaumwa yaani hayupo sawa basi tuliongea kwa dakika kadhaa tukapeana moyo tuendelee kusubiri mzigo.

Mwezi August nakumbuka nilimpgia tena simu tuliongea vizuri tu ila ile hali ya kuwa na wasiwasi juu ya sauti yake ilizidi kwangu but kwa kuwa alinihakikishia ni yeye na aliniambia anasumbuliwa na vidonda vya kwenye koo, nilimuelewa tu isipokuwa nilikuwa nashangazwa sana kwanini ile pressure yake ya awali juu ya pesa hana tena kabisa yaani kutoka ile April tunazozana mpaka sasa hakuwahi kunipigia simu wala kuniulizia chochote isipokuwa ni mimi tu siku zile ambazo nilimtafuta mpaka nikaanza kuhisi au amelipwa kwenye account yake ila anataka kunipiga nini, nilifuatilia nikakuta bado pesa haijatoka.

Nilipiga simu ilipokelewa na tuliongea though nilikuwa nashangazwa sana na tabia yake ya yeye kutonipigia simu wala kuulizia issues za pesa yetu wakati alikuwa na pressure kubwa before.

Sasa basi..

Jana ndo nimepata full picture ya mchezo ulikuwa vipi. Zile pesa kwa sasa zimeshalipwa tayari yan huu mwezi wa 10 zimelipwa kama tarehe 21+ nilipata taarifa kwamba pesa zipo tayari na nilienda kuhakiki kama ni kweli na nilikuwa pesa zimeshalipwa.

Basi jioni nilimcheck yule manzi ili kumpa taarifa simu ilipokelewa nikamuulizia tena mbona sauti imechange akanijbu hayupo sawa kiafya nikamwambia it's ok pesa zimetoka tayari kule naomba nenda CRDB alafu confirm kwangu kama mzigo umeingia ili niondoke hapa eneo la tukio, yaani kwa walipaji. Akaniambia sawa ila kwa sasa yupo busy ataenda kucheck lakini.

Sikupata reply yake ile siku isipokuwa siku ya pili yeye sasa ndio alinipigia simu akanipa report kwmba yes pesa zimeingia tayari na alishukuru sana na mimi pia.

Hatukuongelea tena suala la pesa ile siku nilisema subiri kuanzia kesho tuanze kupangilia ni kipi tuweke sawa coz baadhi ya madeni madogo tulikuwa tunadaiwa kile kipindi na wadai walielewa kwamba pesa ikitoka ndo watalipwa.

So siku ya tatu nilimpgia simu kumwambia kwamba yule jamaa ambaye alikuwa anatudai pesa ashapata taarifa kwamba pesa zimetoka anahitaji pesa zake na ametuvumilia kwa muda mrefu sana kwa hiyo tumfanyie ustaarabu tumtumie pesa yake.

Sasa yaani anitumie mimi kiasi cha pesa au nimpe number ya jamaa amlipe because mimi ndio nilikuwa mdhamini wa tukio zima kwenye hilo deni na alipopokea simu lile suala la sauti lilinitatiza kidogo bado.

Ilikuwa hivi baada ya kumpigia simu..

Alipokea baada y- salamu nikamwambia at least leo sauti yako naanza kuhisi naongea na wewe kweli ulikuwa unaumwa mamy. Basi aliniuliza kwanza wewe ni X, nikamjibu yeah ndio mimi vipi kwani?

Hapa attention yangu iliongezeka sana yaani coz nilishtuka kidogo yeye kuniuliza mimi ni X wakati ananifahamu, yaani alionyesha ni kama mtu anayehitaj uthibitisho wa kwmba mimi ndo yule X.

Nikamjibu yeah ndio mimi.

Kilichofuata alinichana hivi..

"Mwanangu X acha nikwambie ukweli tu, mimi sio Y kama unavyofikiria, mimi ni mama yake na Y".

Mwanangu mimi alipata ajali alifariki tangu mwezi wa 5 na tulizika muda tena nilipigiwa simu tu baada ya watu ku-search majina jina langu alisave mama isipokuwa hili jina lako la X.

Kila siku nilikuwa nalitafuta because alikuwa analitaka mara kwa mara kwamba mpo pamoja na mnafanya kazi pamoja na hata hiyo movement ya biashara yeye aliniambia kila kitu, kwamba mama nipo na X tunafanya hii business tunasubiri pesa na aliniambia kila hatua ambayo mlifikia, yaani kila kitu aliniweka wazi.

Sasa nilikuwa nalitafuta sana hili jina lako isipokuwa hakuwahi kuli save kama jina lako ali save tofauti na ndio maana nilipata shida kulipata sema hilo jina tayari lilishakaa kichwa mwangu kutokana kwmba alilitaja sana mara kwa mara"

Hapo sasa na mimi ndo nilishusha pumzi nilichoka sana tena sana.

Idea haikuwa tu kwenye pesa but ile hali ya kumpoteza mtu yoyote unaemfahamu tena wa karibu.

Daah nilichoka alafu pia hiki kipindi chote ambacho tulikaa kimya nilikuwa nahisi ni ile jeuri ya kuvunja mahusiano tu kumbe mwenzangu hayupo tena duniani. Imenitesa sana hii kitu.

Tuliongea na yule mama, yule mama ni muislam yaani ana imani. Baada ya kuongea na alishaona kwamba maongezi yetu ya awali ilikuwa ni mimi ku request juu ya kufanya malipo kwa mtu hapo ndo alitaka details zaidi na kiasi cha pesa ambacho tulikuwa tunadaiwa coz sio vyema kwa marehemu kubaki na nilimtajia ilikuwa ni laki 2 tu.

Akaniuliza kuna nyingne nikamjibu deni tena isipokuwa kwa upande wangu mimi ningeomba kurudishiwa tu kiasi cha pesa ambacho niliwekeza kwenye hiyo biashara. Faida zote zilizopatikana naomba kaa nazo wewe kutokana na hili tatizo lililotokea.

Nilimpa full details na uzuri ni kwamba mama nyae alikuwa ni muelewa sana na alishaweka trust kwangu coz apart from that baadhi ya ndugu zake nilishakutana nao na walikuwa wananifahamu vyema sana na hata matukio niliyompa na maelezo yake alijiridhisha sana so akaniambia haina shida kila mtu atapata haki yake na mama yupo tayari kwa hilo means kumlipa huyu mdeni na kunirudishia mimi kile kiasi ambacho niliwekeza kama nilivyoomba awali.

Changomoto sasa..

Mama alifanikiwa kupata ATM card but hajui PIN zake na mimi pia sizijui means alilazimika kuingia ndani kupata maelezo ya nini cha kufanya.

Baada ya kupata maelezo y la kutosha alifuata utaratibu wote mahakamani, RITA na sehemu zingine, yaani hii mizunguko yote me nilikuta kashaifanya tangu muda mrefu uliopita na ile sku naongea nae tayari alikuwa kwenye hatua za mwisho yaani alipewa tangazo aliweke mtaani ili kuangalia kama kutakuwa na pingamizi lolote juu ya hilo na alishaweka hilo tangazo na aliniambia kwamba linahitajika kuwa active kwa muda wa kuanzia miezi mitatu na kuendelea mbele then ndio utaratibu mwingine utafuata.

Msaada.

Hizi procedure zilizofuatwa najua ni valid na zina hatua zake isipokuwa sasa yule mama analalamika mizunguko ni mingi sana na inahitaji pesa na yeye ukata wa pesa ushaanza kumtembelea sasa.

Je, kuna mtu yoyote anaweza kunisaidia kujua au kunipa ushauri ni kipi kifanyika ikiwezekana ile pesa ipatikane kwa wakati sahihi yaani ndani hiki kipindi ambacho mama alikuwa ana uhitaji sana wa hizo pesa za mwanae, pesa za kumlipa huyo kijana coz na yeye kwa anahisi ninamdhulumu haniamini, na kile kiasi ambacho on my side niliwekeza kama nilivyo request?

Means hapa naongelea kuna namna yoyote ya kufanya ili CRDB waweze kutoa pesa pale?

Either ni njia valid ya kufuata utaribu au invalid kinachotakiwa ni kwamba CRDB watoe pesa bila mizunguko hii ya usumbufu.

Nakaribisha yoyote mwenye idea ni kipi kifanyike tupunguze huu utaratibu na kama ikifanikiwa tunaahidi kutoa kitachopatikana kutoka na kiasi kilichopo.

Karibuni wadau kwa maoni na mitazamo unaweza kuweka comment au kuja PM tunaweza kuongea na hata kubadilishana number ya simu kwa ajili ya kulisolve hili.

NB: Likifanikiwa tunalindana.

Ikishindikana itabidi nimwambie tu yule mama aendelee kufuata utaratibu.

Karibuni tena.
 
Muandiko wako unaonyesha kabisa wewe ni chali tena mdogo sana cha kufanya tulia muachie huyo mama hela zote pambana upate pesa nyingine
 
Inaonesha unataka short cut kwamba CRDB wasifuate utaratibu na kwamba utawapa kitu kidogo (rushwa). Hilo nenda kaongee nao ni siri ya ndani.

Njia sahihi ni huyo mama kwenda kufungua mirathi ya mwanae (na ninadhani keshaanw za), na akishateuliwa atakuwa na uwezo kisheria wa kukabidhiwa hiyo pesa na kulipa madeni ya marehemu.
 
1.Story yote kupata shortcut CRDB au kuvunja sheria mambo ya hela na mirathi magumu vuta subira.

2.Biashara yeyote kufanya na Jinsia tofauti sio ndugu yako take care.

3.Wewe unaonekana huna uwezo mkubwa kufikiri. Aidha ni mdogo au chali flani. Ona hata lugha unayotumia kuandika.

Utafunguaje biashara account iwe kwa mtu mmoja tena demu kwanini msifungue joint account?

Ona sasa mirathi huhusiki huyo mama shukuru ana roho nzuri mwingine anakuzima mazima.

MUNGU AMLAZE PEMA PEPONI MAREHEMU

Na wewe nakutakia mafanikio utapata zingine
 
Habari za humu ndani wakuu? Hope you are good.

Wataalamu nina tatizo ambalo nahitaji ushauri au mtu yoyote mwenye uelewa hili suala tunaweza kulisolve vipi.

Ipo hivi..

Kuna mtu nilifanya naye biashara fulani hivi mwaka jana ilikuwa ni October, pesa nisingependa kuiweka hadharani aina hiyo y abiashara but wote tulitoa pesa kuifanya hiyo business but mwisho wa siku katika mizunguko ya kibiashara kuna pesa zilikwama hatukulipwa kwa wakati na tuliisubiri mpaka mwisho tulikata tamaa ya kulipwa, though ilikuwa mwezi wa 3 niliitwa mimi kwa ajili ya kwenda kufanya uhakiki wa mambo fulani hivi, kusign baadhi ya documents nilienda na nilifanya hivyo then tuliendelea kusubiria mzigo.

Ila huyu mwenzangu alikuwa ni wa kike na mimi ni kiume zaidi kwa hiyo huu ukaribu wa kibiashara ulitufanya tu develop mahusiano mengine sasa ambyo tulikuwa na hayo mahusiano tangu hiyo October tunaanza biashara yetu.

Ile ilipofikia March this year mimi na yeye hatukuwa vizuri kwa kweli mara nyngi tulikuwa tunazozana sana na kugombana.

Nadhani hii hali ilitokana na ukata wa pesa because tuli-invest pesa yaani pesa ambazo kila mtu ndo alikuwa nayo mfukoni mwake so baada ya hapo tulianza kuishi maisha ya kuunga unga na complain yake ilikuwa tulikosea kufanya aina ya biashara though haikuwahi kutokea hicho kitu cha kudelay kupata pesa kwa wafanya biashara wengine before.

April baada ya kugombana sana kila mtu alichukua time yake na hatukuwa na story tena.

Issue ni kwamba tulitumia account yake ya CRDB kwa ajili ya kupokelea malipo ya zile pesa zetu lakini mimi nilikuwa na full details endapo pesa zikitoka ningelijua tu.

So sikuwa na hofu, nakumbuka mwezi wa 7 nilimpigia simu ili kumsalimia tu ila ninachokikumbuka ni kwamba sauti yake ilikuwa ina utofauti sana akaniambia anaumwa yaani hayupo sawa basi tuliongea kwa dakika kadhaa tukapeana moyo tuendelee kusubiri mzigo.

Mwezi August nakumbuka nilimpgia tena simu tuliongea vizuri tu ila ile hali ya kuwa na wasiwasi juu ya sauti yake ilizidi kwangu but kwa kuwa alinihakikishia ni yeye na aliniambia anasumbuliwa na vidonda vya kwenye koo, nilimuelewa tu isipokuwa nilikuwa nashangazwa sana kwanini ile pressure yake ya awali juu ya pesa hana tena kabisa yaani kutoka ile April tunazozana mpaka sasa hakuwahi kunipigia simu wala kuniulizia chochote isipokuwa ni mimi tu siku zile ambazo nilimtafuta mpaka nikaanza kuhisi au amelipwa kwenye account yake ila anataka kunipiga nini, nilifuatilia nikakuta bado pesa haijatoka.

Nilipiga simu ilipokelewa na tuliongea though nilikuwa nashangazwa sana na tabia yake ya yeye kutonipigia simu wala kuulizia issues za pesa yetu wakati alikuwa na pressure kubwa before.

Sasa basi..

Jana ndo nimepata full picture ya mchezo ulikuwa vipi. Zile pesa kwa sasa zimeshalipwa tayari yan huu mwezi wa 10 zimelipwa kama tarehe 21+ nilipata taarifa kwamba pesa zipo tayari na nilienda kuhakiki kama ni kweli na nilikuwa pesa zimeshalipwa.

Basi jioni nilimcheck yule manzi ili kumpa taarifa simu ilipokelewa nikamuulizia tena mbona sauti imechange akanijbu hayupo sawa kiafya nikamwambia it's ok pesa zimetoka tayari kule naomba nenda CRDB alafu confirm kwangu kama mzigo umeingia ili niondoke hapa eneo la tukio, yaani kwa walipaji. Akaniambia sawa ila kwa sasa yupo busy ataenda kucheck lakini.

Sikupata reply yake ile siku isipokuwa siku ya pili yeye sasa ndio alinipigia simu akanipa report kwmba yes pesa zimeingia tayari na alishukuru sana na mimi pia.

Hatukuongelea tena suala la pesa ile siku nilisema subiri kuanzia kesho tuanze kupangilia ni kipi tuweke sawa coz baadhi ya madeni madogo tulikuwa tunadaiwa kile kipindi na wadai walielewa kwamba pesa ikitoka ndo watalipwa.

So siku ya tatu nilimpgia simu kumwambia kwamba yule jamaa ambaye alikuwa anatudai pesa ashapata taarifa kwamba pesa zimetoka anahitaji pesa zake na ametuvumilia kwa muda mrefu sana kwa hiyo tumfanyie ustaarabu tumtumie pesa yake.

Sasa yaani anitumie mimi kiasi cha pesa au nimpe number ya jamaa amlipe because mimi ndio nilikuwa mdhamini wa tukio zima kwenye hilo deni na alipopokea simu lile suala la sauti lilinitatiza kidogo bado.

Ilikuwa hivi baada ya kumpigia simu..

Alipokea baada y- salamu nikamwambia at least leo sauti yako naanza kuhisi naongea na wewe kweli ulikuwa unaumwa mamy. Basi aliniuliza kwanza wewe ni X, nikamjibu yeah ndio mimi vipi kwani?

Hapa attention yangu iliongezeka sana yaani coz nilishtuka kidogo yeye kuniuliza mimi ni X wakati ananifahamu, yaani alionyesha ni kama mtu anayehitaj uthibitisho wa kwmba mimi ndo yule X.

Nikamjibu yeah ndio mimi.

Kilichofuata alinichana hivi..

"Mwanangu X acha nikwambie ukweli tu, mimi sio Y kama unavyofikiria, mimi ni mama yake na Y".

Mwanangu mimi alipata ajali alifariki tangu mwezi wa 5 na tulizika muda tena nilipigiwa simu tu baada ya watu ku-search majina jina langu alisave mama isipokuwa hili jina lako la X.

Kila siku nilikuwa nalitafuta because alikuwa analitaka mara kwa mara kwamba mpo pamoja na mnafanya kazi pamoja na hata hiyo movement ya biashara yeye aliniambia kila kitu, kwamba mama nipo na X tunafanya hii business tunasubiri pesa na aliniambia kila hatua ambayo mlifikia, yaani kila kitu aliniweka wazi.

Sasa nilikuwa nalitafuta sana hili jina lako isipokuwa hakuwahi kuli save kama jina lako ali save tofauti na ndio maana nilipata shida kulipata sema hilo jina tayari lilishakaa kichwa mwangu kutokana kwmba alilitaja sana mara kwa mara"

Hapo sasa na mimi ndo nilishusha pumzi nilichoka sana tena sana.

Idea haikuwa tu kwenye pesa but ile hali ya kumpoteza mtu yoyote unaemfahamu tena wa karibu.

Daah nilichoka alafu pia hiki kipindi chote ambacho tulikaa kimya nilikuwa nahisi ni ile jeuri ya kuvunja mahusiano tu kumbe mwenzangu hayupo tena duniani. Imenitesa sana hii kitu.

Tuliongea na yule mama, yule mama ni muislam yaani ana imani. Baada ya kuongea na alishaona kwamba maongezi yetu ya awali ilikuwa ni mimi ku request juu ya kufanya malipo kwa mtu hapo ndo alitaka details zaidi na kiasi cha pesa ambacho tulikuwa tunadaiwa coz sio vyema kwa marehemu kubaki na nilimtajia ilikuwa ni laki 2 tu.

Akaniuliza kuna nyingne nikamjibu deni tena isipokuwa kwa upande wangu mimi ningeomba kurudishiwa tu kiasi cha pesa ambacho niliwekeza kwenye hiyo biashara. Faida zote zilizopatikana naomba kaa nazo wewe kutokana na hili tatizo lililotokea.

Nilimpa full details na uzuri ni kwamba mama nyae alikuwa ni muelewa sana na alishaweka trust kwangu coz apart from that baadhi ya ndugu zake nilishakutana nao na walikuwa wananifahamu vyema sana na hata matukio niliyompa na maelezo yake alijiridhisha sana so akaniambia haina shida kila mtu atapata haki yake na mama yupo tayari kwa hilo means kumlipa huyu mdeni na kunirudishia mimi kile kiasi ambacho niliwekeza kama nilivyoomba awali.

Changomoto sasa..

Mama alifanikiwa kupata ATM card but hajui PIN zake na mimi pia sizijui means alilazimika kuingia ndani kupata maelezo ya nini cha kufanya.

Baada ya kupata maelezo y la kutosha alifuata utaratibu wote mahakamani, RITA na sehemu zingine, yaani hii mizunguko yote me nilikuta kashaifanya tangu muda mrefu uliopita na ile sku naongea nae tayari alikuwa kwenye hatua za mwisho yaani alipewa tangazo aliweke mtaani ili kuangalia kama kutakuwa na pingamizi lolote juu ya hilo na alishaweka hilo tangazo na aliniambia kwamba linahitajika kuwa active kwa muda wa kuanzia miezi mitatu na kuendelea mbele then ndio utaratibu mwingine utafuata.

Msaada.

Hizi procedure zilizofuatwa najua ni valid na zina hatua zake isipokuwa sasa yule mama analalamika mizunguko ni mingi sana na inahitaji pesa na yeye ukata wa pesa ushaanza kumtembelea sasa.

Je, kuna mtu yoyote anaweza kunisaidia kujua au kunipa ushauri ni kipi kifanyika ikiwezekana ile pesa ipatikane kwa wakati sahihi yaani ndani hiki kipindi ambacho mama alikuwa ana uhitaji sana wa hizo pesa za mwanae, pesa za kumlipa huyo kijana coz na yeye kwa anahisi ninamdhulumu haniamini, na kile kiasi ambacho on my side niliwekeza kama nilivyo request?

Means hapa naongelea kuna namna yoyote ya kufanya ili CRDB waweze kutoa pesa pale?

Either ni njia valid ya kufuata utaribu au invalid kinachotakiwa ni kwamba CRDB watoe pesa bila mizunguko hii ya usumbufu.

Nakaribisha yoyote mwenye idea ni kipi kifanyike tupunguze huu utaratibu na kama ikifanikiwa tunaahidi kutoa kitachopatikana kutoka na kiasi kilichopo.

Karibuni wadau kwa maoni na mitazamo unaweza kuweka comment au kuja PM tunaweza kuongea na hata kubadilishana number ya simu kwa ajili ya kulisolve hili.

NB: Likifanikiwa tunalindana.

Ikishindikana itabidi nimwambie tu yule mama aendelee kufuata utaratibu.

Karibuni tena.
Pole ndg!! Kwa kupitia post #3 nahisi jibu umelipata na liko wazi yn vuta subira mpaka mama ateuliwe na mahakama husika kuwa msimamizi wa mirathi na km ni kuhusu huyo jamaa anadai ni vema mkatambua kua mdaiwa kwa sasa ni marehemu hivyo ni lazima taratibu zote za mirathi zifanyike ndipo kila mtu atapata stahiki yake
 
Kuna Uzi nimeuona kuwa jamaa nae kavuta, na yeye alianza kuumwa Sana
Pole ndg!! Kwa kupitia post #3 nahisi jibu umelipata na liko wazi yn vuta subira mpaka mama ateuliwe na mahakama husika kuwa msimamizi wa mirathi na km ni kuhusu huyo jamaa anadai ni vema mkatambua kua mdaiwa kwa sasa ni marehemu hivyo ni lazima taratibu zote za mirathi zifanyike ndipo kila mtu atapata stahiki yake

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Halafu inaonekana tatizo alilokuwa nalo huyo demu wake na yeye alikuja kusumbuliwa nalo.

Shida ya Koo!
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom