Msaada: Naomba ufafanuzi kwa hili tafadhari | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada: Naomba ufafanuzi kwa hili tafadhari

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ng'wanza Madaso, Jan 17, 2011.

 1. Ng'wanza Madaso

  Ng'wanza Madaso JF-Expert Member

  #1
  Jan 17, 2011
  Joined: Oct 21, 2008
  Messages: 2,278
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Kuna wakuu wa mikoa wanafanya kazi ndani ya mikoa Miwili,je wanawezaje kuwatumikia hawa wananchi na je gharama za kila siku kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine ni nani anayegharamikia?

  Mfano:Mkuu wa mkoa wa Mbeya John Mwakipesile ni Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Iringa

  Mkuu wa mkoa wa Singida Dk Parseko Ole Kone ni Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Manyara

  Na yawezekana kuna wengine wengi je Mkuu wa mkoa pekee na Mkurugenzi na mameya wanakazi gani? Naombeni msaada wenu Tafadhari.
   
 2. m

  mzambia JF-Expert Member

  #2
  Jan 17, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 885
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Kisiasa zaidi
   
 3. CPU

  CPU JF Gold Member

  #3
  Jan 17, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Kimaslahi zaidi na Umimi
   
 4. CPU

  CPU JF Gold Member

  #4
  Jan 17, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Coz kama kuna marupurupu, posho n.k nadhani atalipwa double achilia mbali mshahara
   
 5. Ng'wanza Madaso

  Ng'wanza Madaso JF-Expert Member

  #5
  Jan 17, 2011
  Joined: Oct 21, 2008
  Messages: 2,278
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Nijuavyo mimi wakuu wa Mikoa ni watumishi wa Serikali si wanasiasa japo huteuliwa na Rais.

   
 6. Ng'wanza Madaso

  Ng'wanza Madaso JF-Expert Member

  #6
  Jan 17, 2011
  Joined: Oct 21, 2008
  Messages: 2,278
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Huyu Mwakipesile kuna kipindi alilalamikiwa kufanya kazi za Chama na kusahau majukumu yake ya Mkuu wa Mkoa na je alikuwa analipwa marupurupu na chama?

   
 7. Ng'wanza Madaso

  Ng'wanza Madaso JF-Expert Member

  #7
  Jan 18, 2011
  Joined: Oct 21, 2008
  Messages: 2,278
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Na kuna wengine ni wabunge na ni wakuu wa Mikoa ,na wawapo bungeni shuighuli zake husimama kwa muda. Na mkuu wa mkoa ana mshahara wake na Mbunge ana mshahara wake sasa hawa sijui ndo wanapokea mishahara miwili?
   
 8. Goldman

  Goldman JF-Expert Member

  #8
  Jan 18, 2011
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 1,260
  Likes Received: 847
  Trophy Points: 280
  Ombwe la uongozi na waliopo hawataki kutuachia
   
 9. NewDawnTz

  NewDawnTz JF-Expert Member

  #9
  Jan 18, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 1,675
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0

  Ni ukosefu wa maadili, kujali, nidhamu, umakini na akili wa anaewateua...

  Kwangu mimi hawana kosa, kama mkulu kakuteua unafanyaje wakati maslahi nje nje..
   
 10. U

  Uswe JF-Expert Member

  #10
  Jan 18, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  wanaCCm ndo wanaweza kuelewa hayo mambo
   
 11. CPU

  CPU JF Gold Member

  #11
  Jan 18, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Yaani we acha tu, haya mambo kila nikiwaza nasikia kutapika. Utasikia mtu ni mbunge, mkuu wa mkoa then naibu mkuu wa mkoa, na bado hapo sijakwambia atakuwemo ktk kamati ngapi za bunge.

  Kusanya pesa anayolipwa kama hujaona ni sawa mishahara ya madaktari 50 wa Muhimbili
   
 12. Ng'wanza Madaso

  Ng'wanza Madaso JF-Expert Member

  #12
  Jan 18, 2011
  Joined: Oct 21, 2008
  Messages: 2,278
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Hapo ni kutafutia Rushwa wakati wa uchaguzi,unakuta mtu katumia Milioni 100 kwenye kampeni,hapa kweli umepatia,na ukifika wakati wa kampeni basi mikoa inakuwa wazi kwa sababu wakuu wako kwenye kampeni.

   
Loading...