Mpaka siku zake zingine, unarudia tena. Kama siku zake haziji ujue kitu tayari.Mkuu kila siku mpaka siku zake zingine tena au kwa siku ngapi baada ya wiki mbili
Hivi mwamke anaetumia siku 2 tu kwa hedhi anaweza pata uja uzito na siku zake hatar kwa yai kushuka na kushika mimba ni zipi.