Msaada:Naomba Softcopy ya Syllabus ya Bible Knowledge Form 1 to 4

Shalom Pastor.

Pole sana naona wanajukwaa wako kimya hawakusaidii ulichoomba. Binafsi sina na sijawahi soma.

Ukimya huu unakupa salamu za uhitaji na sababu ya kuchapa injili kwa nguvu kubwa.

Ungeomba jingine tungetiririka sana.
 
Back
Top Bottom