911sep11
JF-Expert Member
- Jan 7, 2018
- 2,461
- 4,265
Hapo ulipo ndio panaitwa nchi nzima kwahiyo piga picha kiwanda kilichojengwa awamu hii uweke hapa.
Msaada wadau naomba kuona picha za hivyo viwanda.
Na bidhaa zake na zinako safirishwa
johnthebaptist
Maendeleo hayana uvyama ndani yake.
Msaada wadau naomba kuona picha za hivyo viwanda.
Na bidhaa zake na zinako safirishwa
johnthebaptist
Maendeleo hayana uvyama ndani yake.