Msaada: Naomba muongozo wa Interview TRA

Jina la mtoa comment linasanifu jinsi alivyo
U
Subiri kwanza usote ndiyo utajua umuhimu wa possible ,,
Hivi kwa akili yako unazani mtu aliyemaliza 2014 mpaka leo anaweza akawa anakumbuka Taxation yote? Na hata akianza kusoma unazani anaweza akaimaliza ndani ya mda mchache? Ndiyo maana mtu anaomba possible ili asije poteza mda mwingi kusoma vitu vingi
 
Kuna mdogo wangu hapa anasikitika kaitwa tax management udsm na custom mwalimu nyerere, mi nimemsahauli achague moja afanye maana kwa umbali huo mmmh
 
Wewe inaonyesha hajawai kuingia hata darasa la kwanza aisee ndio maana u asema ivyo hali ya maisha ilivyongumu watu wanauza nyapu,wanäroga wapate kazi wewe unasema possible
Samahani kidogo kama ntakua harsh lakin kitendo cha kua umemaliza masomo na unataka ajira then unaomba possible questions sidhani kama ni vizuri
 
Unachanganya madesa Tax na customs hazifanyiki chuo cha mwalimu nyerere ni DUCE na ACCOUNTS ni UDSM mdogo wako kakuingiza chaka pepa za tax na customs ni Duce saa 3 asubui tena muda n mmoja ivyo lazima watu wachague pepa moja na account inafanyika udsm saa tano asubuhi kutoka Duce kwenda Udsm kwa boda unaweza kuchajiwa elfu 15000 ivyo unamaliza tax au customs saa tano unatakiwa huwai udsm kupiga tena accounts
Angalia vizur wanaofanya custom wapo waliopangiwa Mwalimu Nyerere
 
Mpaka hapo tumeshakukata, wewe njoo kukamilisha utaratibu. Tutaangalianuandishi wako kuku sort out kwa kuwa unatunia ID fake.
Huna uelewa wa hii kazi

Karibu
 
Naomba unitumie hii
Mkuu sio kweli, ingekua ni ivyo bas pepa ingetoka Institute of Tax Adminstration (ITA) na sio NBAA. Kuna time utumishi hawatoagi vitu vya class mfano ni ile pepa waliyouliza habar za makinikia na development programs i.e AGOA n millenium development goals.

NB
Ni vizuri kupitia notes upate idea ya vitu vingi
 
Samahani kidogo kama ntakua harsh lakin kitendo cha kua umemaliza masomo na unataka ajira then unaomba possible questions sidhani kama ni vizuri

Uko sahihi. Kwa kweli ukifuatilia huu mjadala wote utagundua kuna shida kubwa zaidi.
 
Mkuu sio kweli, ingekua ni ivyo bas pepa ingetoka Institute of Tax Adminstration (ITA) na sio NBAA. Kuna time utumishi hawatoagi vitu vya class mfano ni ile pepa waliyouliza habar za makinikia na development programs i.e AGOA n millenium development goals.

NB
Ni vizuri kupitia notes upate idea ya vitu vingi
Ni kweli hata mimi niliuona huo mtihani ,ila sometimes hawaeleweki wanaweza kuchanganya pia ,vilevile ukifanikiwa kwenda oral kule ni maswali ya customs tu kwaio ni vizuri kupitia

Hio pdf inamambo yote ya taxation na customs ndicho anachomanisha hata hao ITA na uhakika walimu hua wanatumia hizo notes za NBAA wengi wao wamepitia huko
 
Mkuu sio kweli, ingekua ni ivyo bas pepa ingetoka Institute of Tax Adminstration (ITA) na sio NBAA. Kuna time utumishi hawatoagi vitu vya class mfano ni ile pepa waliyouliza habar za makinikia na development programs i.e AGOA n millenium development goals.

NB
Ni vizuri kupitia notes upate idea ya vitu vingi
Mjomba usikalili toka ilo pepa lililopigwa kikanda lipite TRA wameishaita tena kama mara mbili na maswali yote wanauliza notes za Tax na customs za darasan mfano kwenye customs waliuliza bill of exchange, bill of landing , ili utoe mizigo bandarin zinaitajika document gani muhimu, wharf ni nn , Hao ITA baba lao ni NBAA mkuu mwisho current issue pia muhimu kupitia
 
Sahihi mkuu asilimia 100
ni kweli hata mimi niliuona huo mtihani ,ila sometimes hawaeleweki wanaweza kuchanganya pia ,vilevile ukifanikiwa kwenda oral kule ni maswali ya customs tu kwaio ni vizuri kupitia

Hio pdf inamambo yote ya taxation na customs ndicho anachomanisha hata hao ITA na uhakika walimu hua wanatumia hizo notes za NBAA wengi wao wamepitia huko
 
Back
Top Bottom