Msaada: Naomba muongozo nifuate hatua gani ili nikaishi nchini Ubelgiji

Kiparamoto

Member
Oct 1, 2015
72
25
Salam,

Baada ya mizunguko ya kila siku ya kusaka ugali, nimeona nije mbele yenu wakuu niombe msaada wenu, kwanza nipende kukiri kuwa mimi ni kijana wa makamo, umri 23-27 ambae nina ndoto za kwenda kuishi nje (abroad).

Siku moja niliwahi kuomba ushauri kipindi cha nyuma kutaka kwenda mjini Gaborone, Botswana na nilipata majibu mazuri tu lakini kutokana na sababu moja ama nyingine nilishindwa kwenda.

Miaka mitatu iliyopita nilipata rafiki wa kike kutokea (Belgium) sina uhakika na mji anaoishi kati ya Brussels au Antwerp, tumekuwa na ukaribu mzuri sana mpaka kufikia hatua ya kunipa mualiko wa kwenda kwao huku akinigharamia flight kwenda na kurudi, accommodation, meals na gharama nyingine nikiwa huko, kasoro Visa itakuwa juu yangu, passport tayari ninayo.

Lengo la uzi huu ni kuomba msaada wa ABC's ni kitu au mbinu gani ya kufanya ili ndoto yangu ya kuanzisha makazi (kuishi) huko itimie ikizingatia yeye amenialika kwaajili ya kutembea tu lakini hajui nini kinaendelea akilini mwangu.

Ni jambo gani niweze kufanya ili nipate nafasi ya kuendelea kuishi huko hata baada ya muda wa safari yangu kuisha (mwezi mmoja).

NB: Sitaki kuzamia moja kwa moja illegally bali natafuta namna halali itakayonifanya niweze kuendelea kuishi huko kwangu mimi naona hii ni Golden chance ambayo sitakiwi kuipoteza (sijawahi kusafiri nje ya Tanzania)

Natanguliza Shukrani.
 
Toka mwisho wa mwaka jana kuja sasa mada za kulowea kwa wakoloni zinapamba moto, anyway nenda ukifika onana na Lissu atakupa njia nzuri na nini ufanye ubaki huko, ila uchaguzi ukikaribia njoo fasta, tusije sikia oooh mmechagua kituko aah!
 
Toka mwisho wa mwaka jana kuja sasa mada za kulowea kwa wakoloni zinapamba moto, anyway nenda ukifika onana na Lissu atakupa njia nzuri na nini ufanye ubaki huko, ila uchaguzi ukikaribia njoo fasta, tusije sikia oooh mmechagua kituko aah!
Mkuu hali ngumu ya maisha hasa kwa vijana ukosefu wa ajira na empowerment ya kujiajiri ndio chanzo cha vyote hivi, wengi wetu tunajioa imani labda huko mambo yatanyooka.
 
Nenda ubalozini sema wewe ni shoga na nchi hii haisapoti ushoga utapewa visa pamaja na basha wako ambaye utafikia kwake
 
Back
Top Bottom