• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Msaada: Naomba muongozo nifuate hatua gani ili nikaishi nchini Ubelgiji

Kiparamoto

Kiparamoto

Member
Joined
Oct 1, 2015
Messages
69
Points
95
Kiparamoto

Kiparamoto

Member
Joined Oct 1, 2015
69 95
Salam,

Baada ya mizunguko ya kila siku ya kusaka ugali, nimeona nije mbele yenu wakuu niombe msaada wenu, kwanza nipende kukiri kuwa mimi ni kijana wa makamo, umri 23-27 ambae nina ndoto za kwenda kuishi nje (abroad).

Siku moja niliwahi kuomba ushauri kipindi cha nyuma kutaka kwenda mjini Gaborone, Botswana na nilipata majibu mazuri tu lakini kutokana na sababu moja ama nyingine nilishindwa kwenda.

Miaka mitatu iliyopita nilikutana na marafiki watatu kutokea (Belgium) sina uhakika na mji wanaoishi kati ya Brussels au Antwerp, kwenye mambo ya elimu (walitembelea Tanzania) kiukweli niliwatreat vizuri sana, leo hii wameamua kulipa fadhila, wamenipa invitation kwenda nchini kwao huku wakinigharamia flight kwenda na kurudi, accommodation, meals na gharama nyingine nikiwa huko, kasoro Visa itakuwa juu yangu, passport tayari ninayo.

Lengo la uzi huu ni kuomba msaada wa ABC's ni kitu au mbinu gani ya kufanya ili ndoto yangu ya kuanzisha makazi (kuishi) huko itimie ikizingatia wao wamenialika kwaajili ya kutembea tu lakini hawajui nini kinaendelea akilini mwangu.

Ni jambo gani niweze kufanya ili nipate nafasi ya kuendelea kuishi huko hata baada ya muda wa safari yangu kuisha (mwezi mmoja).

NB: Sitaki kuzamia moja kwa moja illegally bali natafuta namna halali itakayonifanya niweze kuendelea kuishi huko kwangu mimi naona hii ni Golden chance ambayo sitakiwi kuipoteza (sijawahi kusafiri nje ya Tanzania)

Natanguliza Shukrani.
 
TODAYS

TODAYS

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2014
Messages
5,653
Points
2,000
TODAYS

TODAYS

JF-Expert Member
Joined Apr 30, 2014
5,653 2,000
Toka mwisho wa mwaka jana kuja sasa mada za kulowea kwa wakoloni zinapamba moto, anyway nenda ukifika onana na Lissu atakupa njia nzuri na nini ufanye ubaki huko, ila uchaguzi ukikaribia njoo fasta, tusije sikia oooh mmechagua kituko aah!
 
Kiparamoto

Kiparamoto

Member
Joined
Oct 1, 2015
Messages
69
Points
95
Kiparamoto

Kiparamoto

Member
Joined Oct 1, 2015
69 95
Toka mwisho wa mwaka jana kuja sasa mada za kulowea kwa wakoloni zinapamba moto, anyway nenda ukifika onana na Lissu atakupa njia nzuri na nini ufanye ubaki huko, ila uchaguzi ukikaribia njoo fasta, tusije sikia oooh mmechagua kituko aah!
Mkuu hali ngumu ya maisha hasa kwa vijana ukosefu wa ajira na empowerment ya kujiajiri ndio chanzo cha vyote hivi, wengi wetu tunajioa imani labda huko mambo yatanyooka.
 

Forum statistics

Threads 1,403,953
Members 531,444
Posts 34,440,531
Top