Mkoroshokigoli
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 14,594
- 5,568
- Thread starter
- #21
nimekupata ila nimeshasaidiwaWe vipi usaidiwe mwenzio amesoma, amefikiri, ametumia muda wake, then usaidiwe. We kweli mtanzania. Kila kitu mpaka tusaidiwe.
nimekupata ila nimeshasaidiwaWe vipi usaidiwe mwenzio amesoma, amefikiri, ametumia muda wake, then usaidiwe. We kweli mtanzania. Kila kitu mpaka tusaidiwe.
Nashukuru mdauMkoroshokigoli no yangu ya simu: 0652 999009. Na hii ni sample nyingine nakupatia:View attachment 81514
asante sanaHabari. Mimi ni logo designer ila Kabla sijajitangaza kwako tafadhali tembelea blog yangu ifuatayo ndio upate maamuzi kama utaweza kufanya kazi na Mimi. Humo utaona sample za kazi zangu.View attachment 81513 Na ninakuwekea sample moja ya kazi zangu hapa kaka.
Blog yangu ni: Logoriddims.blogspot
Nimeipata mkuu,nashukuru kwa kuipenda kazi yangu.Mungu akubariki ufanikiwe zaidi kwenye hiyo kampuni uliyoianzisha.asante sana mkuu nimekutumia e-mail