KATASAN'KAZA
JF-Expert Member
- Jul 24, 2013
- 3,097
- 1,352
Nimepigiwa na simu hii 0659071000 wanajitambulishs km watu wa tigo bima wakasema mimi ni kati ya watu watano tumepewa offer kujiunga na tigo bima.
Wakadai nitalipwa na tigo kiasi cha mil.5 kwa ajali, ugonjwa na moto na kama nitakufa mimi watalipa familia yangu kiasi cha mil. 3.
Sasa tatizo naambiwa nakiwa kulipa sh.10000 kama bima ya majanga kwa mwaka nikahoji hayo majanga wanadai ni km ugonjwa ambao utakupatia kilema, moto, na wanadai utapatiwa sh.mil. 5 nikajuuliza km nimepata janga kubwa nikambiwa itakuwa fixed.
Inawezekana wasiwe matapeli maana wanaongea kwa kujiamini ila sasa utaratibu wa kuwadai na jinsi ya kuingia nao mkataba.
Ambaye anafahamu hebu atupatie ufafanuzi.