Msaada: Naomba mkopo wa laki mbili ili nifanikishe mahitaji ya kimasomo

Ninepigiwa simu juzi nikiambiwa kesi kama hii na kiasi kama hiki tofauti yeye anasomea Dar.
Hali ya uchumi awamu hii ni mbaya sana.
 
Habari ya siku wanajamii,

Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa kwanza, katika moja ya Vyuo vya Serikali mkoani Morogoro. Nahitaji mkopo wa haraka kiasi cha laki mbili (Tshs 200,000) ili kuweza kufanikisha baadhi ya mahitaji yangu binafsi kwa kipindi hiki cha mwanzo wa masomo. Naahidi kuirejesha pesa pindi tu nitakapopata pesa yangu ya mkopo kwa ajili ya chakula na malazi kutoka Bodi ya Mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu.

Nitashukuru sana kwa ambaye ataniamini na kunipatia mkopo.

Tusaidiane waungwana.
MKUU , JICHANGANYE KITAA , UPIGE DAY WORKER JOBS KATIKA SITE ZA UJENZI , LABDA UTAPATA MKUU , PIA MAISHA HAYA YA SASA DAH WA KUMUAMINI NI WEWE TU ' MAANA UNATAFUTA MAISHA .
 
Daaah hatari mm sina hata mia, nipo class now nawaza tu na njaa inaniuma kweli
 
Back
Top Bottom