Wakuu salama?
Katika kuhangaika hapa na pale nimekutana na kikwazo cha kuwa na matokeo ya IELTS au TOEFL.
Sijawahi kuona pepa za mitihani ya aina hiyo hata siku moja, nimeangalia yutyubu lakini sijafanikiwa kwa sana. Ikiwa kuna mtu yeyote ambae ameshafanya kati ya hizo pepa anisaidie hata ushauri tuu utakua umenisaidia sana.
Je ni maswali gani yanayoulizwa? kwa kingereza chetu cha Bongo naweza kupata overall ya 6.5 kweli? kwenye oral inakuaje? na listening je? natakiwa kuwa nasikiliza BBC au cnn some days before sijaattend mtihani?
Asante sana kwa kusoma naomba nisaidie mtanzania mwenzako, asante
IVINDO