Msaada: Naomba kujuzwa matumizi ya Chassis Number

Lee

JF-Expert Member
Jul 31, 2013
43,905
150,212
Wakuu salaam na heri ya Jumapili,

Naomba kueleweshwa juu ya matumizi ya chassis number kwenye magari pale ambapo unakuwa hujapata plate number ya gari husika /japo siku hizi watu wengine wanakuwa na plate number tayari ila wanatumia plate number za chassis tofauti na T.

Shukrani
 
...Hao wanaoendesha magari ilhali washafanya registration ya gari husika, ni kwamba wanavunja sheria, kwa kua hairuhusiwi kuendesha gari likiwa limebandikwa chasis no wakati tayari una plate no T.... Kulingana na Road Traffic Act
 
Ok asante ...lakini utaratibu wa kuitumia kabla ya kumaliza registration ukoje ?

Kuna limitations ya mda ? Namaanisha kwenye matumizi ya kila sku ?
 
Mwisho saa 12 jioni kutembelea Chassis
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Back
Top Bottom