Mbatizaji Mkuu
Member
- Jul 19, 2020
- 39
- 128
Naomba anayefahamu hii course inayopatikana CBE.
Ina deal na nini?
Possible carrier zake?
Ina deal na nini?
Possible carrier zake?
Kiongozi upo mkoa gani?Naomba anayefahamu hii course inayopatikana CBE.
Ina deal na nini?
Possible carrier zake?
Kilimanjaro mkuuKiongozi upo mkoa gani?
Hiyo kozi umeombea chuo kipi?Kilimanjaro mkuu
Kozi ipo vizuri Kama kawaida inatolewa cbe ila only campus ya Dar es salaamNaomba anayefahamu hii course inayopatikana CBE.
Ina deal na nini?
Possible carrier zake?