Msaada: Naomba kujuzwa kuhusu biashara ya advertising agency inavyofanya kazi

Mr.genius

JF-Expert Member
Feb 20, 2012
1,369
1,169
Salama wakuu?

Naomba moja kwa moja niende kwenye mada.

Kwanza kabisa naomba ku-declare interest kua mimi ni msikilizaji mkubwa sana wa radio na kwa namna moja au nyingine imenifanya kuwa mdadisi kidogo kuhusu matangazo yanayotangazwa kwenye radio. I mean yale matangazo wenyewe wanayoyaita ya wadhamini, ya makampuni mbalimbali na hata ya kwenye TV.

Kwenye kutafiti tafiti kwangu nikagundua kuna kitu kinaitwa "advertising agency" ambao nasikia ndo wana-deal na matangazo ingawaje sijajua hasa wanafanyaje biashara zao ili na mimi nipate pa kuanzia.

> Wanapataje tenda za kuandaa matangazo hayo?

> Kuna wasanii nawaona wanashiriki kwa maana ya kuwemo kwenye hayo matangazo. How do they organise such things?

> Ni lazima kuwa na studio ili uweze kufanya hizi kazi?

Nawakaribisha wenye uelewa kunielewesha!


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom