Nitampata wapi Daktari na hospitali nzuri ya macho mzuri?

CCBRT DSM. Wataalamu sana. Huko Mvumi ni madaktari tu ila hawajabobea kuchokonoa macho.
 
Mvumi ni kiboko yao nilikutana na wagonjwa wameshindikana kcmc wameenda huko wamepona kuna wataalamu hadi kutoka nje ya nchi
 
Kama n pale makumbusho hapana, nlienda ila tatzo langu halkutatulwa
pale mkuuuu hakuna kitu rafiki yangu alikutana na dakitari mzungu lakini hakupata tiba kumbe hata wazungu hakuna kitu.sijui wazungu koko alipata tiba ccbrt .mkuuuu ulipata tiba wapi ww ukafanikisha
 
Inapatikana victoria ukishavuka jengo la Vodacom mbele kidogo utaiona kama unatokea moroco ni upande wa kushoto

Namba zao 0787888130.kila la heri na ugua pole.Afya nikitu cha muhimu mno
Kumuona Daktari kiasi gn? Na je ina include Vipimo au?
 
Kumuona Doctor ni 60,000 kama sijakosea...
Vipimo inategemea watataka upimwe nini.kuna kipimo mpaka 300,000 ingawa nilitumia bima..

Gharama za hosptal kwa sie wakoga vumbi ni kubwa sana.....Yaani kuona dokta tu ni elfu 60 tu hatari.....Bora serikali ipambanie kuanzisha Bima ya afya kwa wote.
 
Gharama za hosptal kwa sie wakoga vumbi ni kubwa sana.....Yaani kuona dokta tu ni elfu 60 tu hatari.....Bora serikali ipambanie kuanzisha Bima ya afya kwa wote.
Hiyo ni kumuona dactar pamoja na vipimo vidogo vidogo vya awali ila kutaka kujua ni tatizo gani au ni vipimo gani hasa vya kupima ili kugundua tatizo.

Ni hospital nzuri sana,wanahuduma nzuri sana na pia wafanyakazi wake wako friendly sana I recommend....
 
Habari wakuu, naombeni kujua hospitali nzuri ya macho kwa hapa dar na gharama zake kwani siwezi kuona mbali na kusoma siwezi . Usafiri went ni mhimu nisijekuza tatizo maana hospital nzuri ni chache sana
 
Back
Top Bottom