Msaada: Naomba kujua ratiba ya kila siku ya Shule ya Njombe Sekondari

crankshaft

JF-Expert Member
Jun 12, 2019
1,411
3,375
Kwa yeyote aliyewahi kusoma njombe sekondari naomba anisaidie maisha ya kila siku kama vile ;
Muda wa pola.

Muda wa kutoka darasani,

Je kuna remedial?,

Night prepo inaishia saa ngapi?, nk
 
Form one kuamka saa 10 kudeki mesi
Saa nne kamili Pola na katala
Saa nane au tisa Ugali nyango na Top layer
Saa 10 kuchunga ng'ombe na bustanini
Kumi na moja kwenda msitu wa ndovu
Saa moja Mesini kisha Prepo na kumbonji



Sent from Gnet Phone using JamiiForums
 
Form one kuamka saa 10 kudeki mesi
Saa nne kamili Pola na katala
Saa nane au tisa Ugali nyango na Top layer
Saa 10 kuchunga ng'ombe na bustanini
Kumi na moja kwenda msitu wa ndovu
Saa moja Mesini kisha Prepo na kumbonji



Sent from Gnet Phone using JamiiForums
Prepo inaisha saa ngapi?

Huko msitu wa ndovu kufanya nini?
 
Back
Top Bottom