Msaada: Naomba kujua namna ya kugundua kama Memory Card yako ni nzima

Eminentia

JF-Expert Member
Jun 5, 2014
2,200
2,000
C
 

Attachments

  • 15803722719388871827028771750798.jpg
    File size
    241 KB
    Views
    0

Use brain Heriel

JF-Expert Member
Nov 3, 2017
2,799
2,000
Msaada hivi unawezaje jua kama memory card ni original? Inakuwa na tabia zipi? Nasikia manufacture wanaweza weka sijui files gani kwenye card ikawa inasoma 16gb kumbe hazijafika yani ukieka popote inasoma 16gb

Nilikuwa na shida na SD card muda mrefu kuna siku nikapita sehemu wanauza vitu mnada nikakuta memoey card 32Gb kwa elf tano nikanunua sasa nikiwa pale pale nikataka ifanya as internal ambayo lazima ifomatiwe kitendo cha ku format kwa kwa njia ile nikaiua ikawa haifanyi kazi popote tena ikumbukwe nishaua sd moja hivo hivo kwa vile ilkuwa na virus yan haiingizi kitu wala kufuta nikasema labda ndo sababu.

Hivyo nikiwa pale pale nikaomba ingine nikapewa sasa kuna vitu nili move from phone to SD including videos zingi
zikagoma funguka uzuri niliback up kwenye google drive hivo havijapotea kabisa ....cha kushangaza hii sd kuna saa unaweka vitu mfano una set as default ya camera unapiga picha hata kumi labda tano ndo zinafunguka tu...zingne zinakuwa kama virus just nyeupe tu......

Msaada kama kuna anaefahamu nini tatizo na kwenye simu inasoma 33.5Gb na nikiweka kwa samsung moja inasoma 31.2Gb

View attachment 1340684
hiyo hapo pichani ni fake
Nimeziuza sana hizo

Kutest memory card njia fasta na salama ni unatupia video Hd Zenye Gb kama 5 Hiv then unaplay zisipo play hiyo ni fake
Kwa kutizama Tuu huwezi Jua kama ni fake au original

🙏
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom