Msaada: Naomba kujua namna ya kufuta channel kwenye king'amuzi

Hivi kama kweli hutaki kuangalia channel fulani kwenye kisimbusi chako, unapata shida gani ku-ignore? Just ignore it na hutapata shida. Au ndio kila mtu anataka kuonekana haipendi TBC?
 
Hapana,sitaki tu baadhi ya channel ziwepo!!!!
 
Binafsi sitaki hata iwepo, nataka nisipate shida ku-ignore
Hivi kama kweli hutaki kuangalia channel fulani kwenye kisimbusi chako, unapata shida gani ku-ignore? Just ignore it na hutapata shida. Au ndio kila mtu anataka kuonekana haipendi TBC?
 
niliishwa kujaribu kufabya hivyo kwa kuotea otea nikajikuta nimevuruga channels zote nikaishia kuomba msaada kwa fundi aziweke sasa.
Hakuna kufuta bob, wewe 'ignore tu' inatosha.
 
Back
Top Bottom