Msaada: Naomba kujua kuhusu ADEM tawi la Mbeya

x - mas

JF-Expert Member
Oct 5, 2012
915
598
Mama yangu mdogo ni mwalimu amechaguliwa chuo cha ADEM tawi la Mbeya kujiendeleza Kozi ya DEMA.
Ningependa kujua A-Z kadri ya uelewa wako juu ya Chuo hiki hasa mahali kilipo hapo Mbeya, Hosteli zake, na mambo mengine

Asante.
 
Chuo kipo maeneo ya forest karibu na mkoani hospital pale sizani kama kuna hostel
 
Back
Top Bottom