Msaada naomba kujua jambo hili kuhusu kubadili Dola

mkalusanga

JF-Expert Member
Nov 12, 2013
301
304
Habari Waungwana Naomba Msaada kidogo humu kuna Watu wengi Wenye Hekima Sana.

Sasa Nina Vidola $ Vyangu Nilidunduliza ili nije Nichange kwa Shiling Sasa Nachohitaji Kujua.

Je, Wapi Naweza Kujua Exchange Rate ya Kila Siku ili Niwe naangalia ili Ikiwa juu Nikumbie Kuchenji Mara Moja Asanteni.

Nasubili Msaaada Mbarikiwe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkalusanga,
Acha mchezo wa kuhifadhi dola binti utaumia
Kuhusu viwango nenda kwenye mabenki au bureau de change utapata viwango vya kuuza na kununua kulingana na siku husika.
 
Dollar kuna muda inaexpire...,haitumiki...Nadhani US wamefanya hivi kuzuia wanaotunza pesa kwenye viroba na vibubu

Sasa kama inachukua mfano 10 years ku expire kuna effect yoyote kwa retail user? Hakuna.

Usikariri tu dollar ina expire, pengine expire time sio issue kwa watu wa daraja la chini.

Kama mtu anatunza dollars kwa zaidi ya 20+ year hapo itamcost. Sio five years halafu useme nitaumia
 
Asante Saana Wote Mlionisaidia Kimawazo Nimefanikiwa Kuchange kila Dora$100 wamenipatia Laki Mbili na Elfu Ishirini na Tisa Pia Benki ya CRDB Nilikuwa Sijui Kama Dora$ Uwa Zina Expire Asante Mr NORBETO Kwa Kunijuza Mbarikiwe Wote Saaana.
Habari Waungwana Naomba Msaada kidogo humu kuna Watu wengi Wenye Hekima Sana.

Sasa Nina Vidola $ Vyangu Nilidunduliza ili nije Nichange kwa Shiling Sasa Nachohitaji Kujua.

Je, Wapi Naweza Kujua Exchange Rate ya Kila Siku ili Niwe naangalia ili Ikiwa juu Nikumbie Kuchenji Mara Moja Asanteni.

Nasubili Msaaada Mbarikiwe.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante Saana Wote Mlionisaidia Kimawazo Nimefanikiwa Kuchange kila Dora$100 wamenipatia Laki Mbili na Elfu Ishirini na Tisa Pia Benki ya CRDB Nilikuwa Sijui Kama Dora$ Uwa Zina Expire Asante Mr NORBETO Kwa Kunijuza Mbarikiwe Wote Saaana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Zina expire baada ya muda gani au tutajuaje zime expire

Sent from my SM-J700H using Tapatalk
 
Sasa kama inachukua mfano 10 years ku expire kuna effect yoyote kwa retail user? Hakuna.

Usikariri tu dollar ina expire, pengine expire time sio issue kwa watu wa daraja la chini.

Kama mtu anatunza dollars kwa zaidi ya 20+ year hapo itamcost. Sio five years halafu useme nitaumia
Unafikir dola ikitengenezwa inakufikia papo hapo... Unajuaje kama imezunguka ikakufikia wewe mwaka hata wa nane... Utunze midola yako hata 2,000 miaka hiyo mitano halafu within that time muda wa kuexpire upite bila wewe kujua ndo utajua presha ni nn...Haya mapesa usipende kuyatunza unless una elimu kuyahusu...Sawa unaweza kuyatunza shilingi ikapanda au ikashuka,yakakufaidisha ila siku mambo yakidunda sijui utapanda Ndege US maamuzi yako tu.
 
Back
Top Bottom