Msaada naomba kujua jambo hili kuhusu kubadili Dola

Njia nzuri ya kutunza dollar ni kufungua account ya pesa za kigeni ila si kwa kuweka ndani utakuja kulia kilio cha kuku..
Imewahi kumkuta jamaa alihifadhi dollars 2000// kazitunza mwaka kwenda bank kumbe wakati zinamfikia yeye zilikuwa na muda mchache w kuexpire na yeye hakuwa analifaham hilo.

GOD is GOOD
 
chakii;
Hizi note huwa zinatolewa kwa series... Mfano hapo chini nimekuwekea series mbalimbali ya dola kumi ya Marekani... Kujua ni series ya wakati gani,angalia note yenyewe itakuwa imeandikwa mwaka.
Sisi tunapenda kutumia neno expire lakini si kwamba ndo inakuwa mwisho wake wakutumika...US hakuna kitu kama kuexpire kwa dollar,kule waweza tumia dollar yoyote ya series yoyote....Huku tunakoita kuexpire kunatokana na mabenki yetu na bureau de change kukubali dollars ambazo series zake ni recently... Mfano kuna kipindi Tz walikuwa wanakubali dollars za series ya 2004 kwenda mbele...So si vizuri saana kutunza dollar kwenye kibubu...Kuna mkuu hapo juu kapendekeza akaunti ya kufungua benki kama nia yako ni kuhifadhi dollar...Ni hayo tu.
10-american-dollars-banknote-series-1999-obverse.jpeg
10-american-dollars-banknote-series-1963-obverse-1.jpeg
10-american-dollars-banknote-obverse-1.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
chakii;
Hizi note huwa zinatolewa kwa series... Mfano hapo chini nimekuwekea series mbalimbali ya dola kumi ya Marekani... Kujua ni series ya wakati gani,angalia note yenyewe itakuwa imeandikwa mwaka.
Sisi tunapenda kutumia neno expire lakini si kwamba ndo inakuwa mwisho wake wakutumika...US hakuna kitu kama kuexpire kwa dollar,kule waweza tumia dollar yoyote ya series yoyote....Huku tunakoita kuexpire kunatokana na mabenki yetu na bureau de change kukubali dollars ambazo series zake ni recently... Mfano kuna kipindi Tz walikuwa wanakubali dollars za series ya 2004 kwenda mbele...So si vizuri saana kutunza dollar kwenye kibubu...Kuna mkuu hapo juu kapendekeza akaunti ya kufungua benki kama nia yako ni kuhifadhi dollar...Ni hayo tu.View attachment 1349982View attachment 1349986View attachment 1350042

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa Mkuu Asante Saana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa kama inachukua mfano 10 years ku expire kuna effect yoyote kwa retail user? Hakuna.

Usikariri tu dollar ina expire, pengine expire time sio issue kwa watu wa daraja la chini.

Kama mtu anatunza dollars kwa zaidi ya 20+ year hapo itamcost. Sio five years halafu useme nitaumia
Hivyo miaka inahesabiwa toka ulipoishika wewe?? Utajuaje imebakiza miezi toka kwa alokupa??
 
Back
Top Bottom