Msaada: naomba kujua haya kuhusu Chuo cha VETA Arusha

mjusilizard

JF-Expert Member
Nov 7, 2019
923
1,586
Habari wakuu?

Ninanyenyekea mbele zenu bila bughudha nina shida ya mawasiliano ya VETA Hotel and Tourism Training Institute - VHTTI kwa ambaye anafahamu, na pia hata kama hauna mawasiliano naomba unijuze kwa kozi ya Tour Guide ina bweni ama ni kutwa pekee? Maombi wanaanza kutuma lini na ada yake ni bei gani?

Nikipata namba zao nitashukuru zaidi wakuu wangu.

Natanguliza shukrani za dhati!
 
My dear umeshachelewa unless usubiri intake ya march.
Ada yao ni laki 6 na points chache mno ambazo utakaaa bweni.
Naomba nisaidie mawasiliano yao tafadhali, pia nisaidie namna ya kujua endapo wkaifungua maombi, kikubwa zaiid nisaidie namba ili nisichome nauli kutoka Bukoba mpaka Arusha kwenda kuulizia. Asante.
 
Naomba nisaidie mawasiliano yao tafadhali, pia nisaidie namna ya kujua endapo wkaifungua maombi, kikubwa zaiid nisaidie namba ili nisichome nauli kutoka Bukoba mpaka Arusha kwenda kuulizia. Asante.
Nitakutafutia namba baadaye.
Nitext PM ili nisisahau
 
Back
Top Bottom