Msaada:- Naomba kujua gharama za kuishi Nairobi

Sadoseba

JF-Expert Member
Feb 17, 2013
243
91
Heshima kwenu wakuu. Natamani kufika Nairobi Christmas hii.Bahati mbaya sijawahi kufika huko. Kwa yeyote mwenye uzoefu, naomba kufahamu yafuatayo;-
1.Gharama za ordinary hotels pale Nairobi kwa siku
2.Gharama za ordinary meals
Nawasilisha kwenu wakuu.Naomba msaada wenu please
 
Back
Top Bottom