Msaada: naomba kujua gharama,vigezo na namna ya Ku apply UDSM. course ya IT.

Feb 23, 2017
30
5
Habar naomba kujua gharama za certificate kwa course ya IT pale UDSM. pia vigezo Mimi nina D3 NA B1 katka mtihani Wa form 4. Pia natamani kujua jinsi ya Ku apply na wakati gani wanaaza au vyuo vinafunguliwa. Nisinge penda kujibiwa majibu mabaya maana ninahaja ya kujua munisaidie c na uzoefu. Asante

Email. Mesheckbazilmtobwa.8@gmail.com
Contact. 0755021670
Facebook. Mrmtobwa mtobwa

Kama utakuwa na moyo Wa kunisaidia unaweza nipata kwanjia hizo apo juu
 
Back
Top Bottom