ABINALA
Senior Member
- Sep 20, 2013
- 134
- 55
Habari za wakati wana jamvi!
Ninalo langu swali la kutaka kujua taratibu za mikopo kutoka taasisi za fedha.
Nimewahi kukopa katika bank moja na bado ninalipa mkopo
Niliwahi kusikia kuwa kuna issue ya kutop-up lakini sharti kuwe kuna ongezeko la mshahara kama ni Mfanyakazi.
Kwa hali ya sasa kama mnavojua kiongozi Mkuu wa nchi amesimamisha sharti la mkataba la kupandisha mshahara ni season mbili sasa wafanyakazi tunaishi kwa matumaini
Je! Ninaweza kupata mkopo kutoka bank hiyo (wamelegeza masharti)?
Au ninaweza pata mkopo taasisi nyingine? Kwani nina bussness yangu bataka kuiboost. Msaada jamani!
Samahani kama lugha itakuwa haijakaa vizuri