Msaada: Naomba kufahamishwa zilipo ofisi za TBC kwa hapa mjini kati

dali kimoko

Senior Member
Jan 25, 2021
114
138
Naomba msaada kwa anaejua ofisi ya TBC hapa city centre wapo wapi?

Zamani walikua Zanaki Street, ila naambiwa wamehama ila sijui wapi, nataka kutoa tangazo, please.

Sitaki kejeli na mapovu. Ka huna jibu kaa kimya.
 
hizo ndo kejeli wengine hatuna simu janja, kama huna jibu la walipo kaa kimya au ndo tujue km unajua kutumia gugu ?
Walahi wana jf mnastress maana komenti yangu ya kawaida tu lkn inavyojibiwa utafikiri nimemtukana mtu..😂

Mkuu si ungesema tu kuwa huna simu janja binafsi Mara nyingi tu Google map imekuwa msaada mkubwa sana ni hivyo tu mkuu take it easy.
 
Walahi wana jf mnastress maana komenti yangu ya kawaida tu lkn inavyojibiwa utafikiri nimemtukana mtu..

Ni kama vile alikuwa anasubiri komenti ambayo hataipenda ili ashushe hasira zake
 
Naomba msaada kwa anaejua ofisi ya TBC hapa city centre wapo wapi?

Zamani walikua Zanaki Street, ila naambiwa wamehama ila sijui wapi, nataka kutoa tangazo, please.

Sitaki kejeli na mapovu. Ka huna jibu kaa kimya.
Wamehamia Dodoma
 
Ukiona mtu ni mkali bila sababu huenda hajala
Huyu nae sijuu ana stress za nn? Watu wanamjibu vzr anawafokea sijui kafokonyolewa usiku
Walahi wana jf mnastress maana komenti yangu ya kawaida tu lkn inavyojibiwa utafikiri nimemtukana mtu..

Mkuu si ungesema tu kuwa huna simu janja binafsi Mara nyingi tu Google map imekuwa msaada mkubwa sana ni hivyo tu mkuu take it easy.
 
Naomba msaada kwa anaejua ofisi ya TBC hapa city centre wapo wapi?

Zamani walikua Zanaki Street, ila naambiwa wamehama ila sijui wapi, nataka kutoa tangazo, please.

Sitaki kejeli na mapovu. Ka huna jibu kaa kimya.
wapo bamaga mkabala na baraza la mitihani au startimes au tazara jirani na hospital ta dar group
 
Back
Top Bottom